Wazalishaji watakiwa kuzingatia viwango
![](https://1.bp.blogspot.com/-CNV8H_qNsos/XlKbXmWYVFI/AAAAAAALe7E/wKYLpZhKNQgaN-5faV6NC7hHTBw-67yZACLcBGAsYHQ/s72-c/3ba8b1f5-4f7d-4569-8486-99f701e39935.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Singida
WAZALISHAJI wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na kupata uhakika wa soko la bidhaa wanazozizalisha.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi alipokuwa akifungua mafunzo ya wazalishaji wa bidhaa za vyakula yakiwemo mafuta ya alizeti na wauzaji wa vipodozi na vyakula yaliyofanyika katika ukumbi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TF1qKofF9r8/XliYXkMG60I/AAAAAAALfxU/SsdKoM8dpPs0GRGP_5Rkk5ZgAUWWsBKJACLcBGAsYHQ/s72-c/09cdfb99-78ec-4bd6-b414-e92b17bba07b.jpg)
Wazalishaji watakiwa kuzingatia mafunzo kukuza mitaji yao
Na Ripota Wetu Kongwa .
WILAYA Kongwa imewataka wajasiriamali kuzingatia mafunzo yanayotolewa na Serikali pamoja na taasisi zake yenye lengo la kuboresha bidhaa wanazozizalisha, kukuza mitaji yao na hatimaye kupata uhakika wa soko la bidhaa.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kongwa, Audiphace Mushi, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Deogratius Ndenjembi, wakati akifungua mafunzo kwa wazalishaji wa mafuta ya alizeti na wauzaji wa bidhaa za chakula na dawa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Wajasiriamali waaswa kuzingatia viwango
WAJASIRIAMALI wadogo na wa kati nchini wametakiwa kuzalisha bidhaa bora kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa kwa mtumiaji. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Msemaji wa Shirika la ViwangoTanzania...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Waandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa kazi za wasanii
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...
10 years ago
Michuzi24 Feb
Mhadhiri wa chuo kikuu Mzumbe awataka maafisa ugavi na manunuzi nchini kuzingatia ubora na viwango
![TA1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/TA1.jpg)
![TA2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/TA2.jpg)
9 years ago
MichuziWAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
9 years ago
Habarileo23 Sep
Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora
WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Wahitimu JKT watakiwa kuzingatia utii
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wahitimu wa mafunzo ya awali kuzingatia utii na uwajibikaji katika jamii wanazoishi ili kuepuka migogoro. Aidha, kupitia mafunzo waliyoyapata yasiwe kwa faida yao pekee...
9 years ago
StarTV01 Oct
Waratibu, wasimamizi watakiwa kuzingatia sheria
Waratibu, wasimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wao katika majimbo mbalimbali nchini wametakiwa kuhakikisha wanazifahamu vyema sheria, kanuni na taratibu zinazotawala mchakato huo na kuzizingatia ipasavyo wakati wote wa utekekelezaji wa majukumu waliyopewa.
Lengo ni kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na haki kwa kusimamia vyema zoezi la upigaji kura, kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ili kudumisha amani na utulivu uliopo.
Zikiwa zimebaki siku 24 kabla ya kufanyika kwa...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Watumishi wa mahakama watakiwa kuzingatia haki
MAHAKIMU na watumishi wa Mahakama katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara wamehimizwa kuzingatia maadili na weledi katika kazi ili kurejesha imani kwa wananchi kuwa mahakama ipo pale kutafasiri sheria na kutoa haki kwa watu wote.