Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazalishaji watakiwa kuzingatia mafunzo kukuza mitaji yao


Na Ripota Wetu Kongwa .

WILAYA  Kongwa imewataka wajasiriamali kuzingatia mafunzo yanayotolewa na Serikali pamoja na taasisi zake yenye lengo la kuboresha bidhaa wanazozizalisha, kukuza mitaji yao na hatimaye kupata uhakika wa soko la bidhaa.

Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kongwa, Audiphace Mushi, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Deogratius Ndenjembi, wakati akifungua mafunzo kwa wazalishaji wa mafuta ya alizeti na wauzaji wa bidhaa za chakula na dawa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wazalishaji watakiwa kuzingatia viwango

Na Mwandishi  Wetu, Singida

WAZALISHAJI wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na kupata uhakika wa soko la bidhaa wanazozizalisha.

Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu  wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi alipokuwa akifungua mafunzo ya wazalishaji wa bidhaa za vyakula yakiwemo mafuta ya alizeti na wauzaji wa vipodozi na vyakula yaliyofanyika katika ukumbi wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AWATAKA WAKULIMA KUJIUNGA CHAMA CHA USHIRIKA KUKUZA MITAJI YAO



Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amewataka wakulima kujiunga kwenye chama cha ushirika ili kuweza kukuza mitaji yao kwa kuitumia Benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB) iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kumwezesha mkulima.
Hayo alitasema katika uzinduzi wa shamba la mfano la upandaji wa miti lenye ukubwa wa hekali mbili uliofanywa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) katika kijiji cha Mikongo, Kata ya Kifanya wilayani Njombe ikiwa ni njia ya...

 

9 years ago

Michuzi

madereva wa BRT watakiwa kuzingatia mafunzo, weledi katika kutoa huduma

Serikali imewataka madereva walioanza kupata mafunzo ya kuendesha mabasi yatakayotumika katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) kuzingatia mafunzo hayo ya kihistoria hapa nchini. Mafunzo hayo yaliyoanza jana ni moja ya matayarisho ya kuanza kwa mradi huo katika kipindi cha mpito mwezi Oktoba mwaka huu. Akifungua rasmi mafunzo hayo jana jijini Dar es Salaam, Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia aliwataka madereva hao...

 

10 years ago

Vijimambo

PROF. TIBAIJUKA ACHANGIA MIL 60 KUKUZA MITAJI YA WANAWAKE JIMBONI MWAKE

Zaidi ya vikundi 500 vya wajasiliamali kutoka kata 17 kati ya 25 zinazounda jimbo la Muleba Kusini Mkoani Kagera vimepokea mchango wa Shilingi milioni 60 kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo kwa lengo la kuboresha mitaji na kujipanua kiuchumi.Akihutubia wawakilishi wa vikundi hivyo jana katika ukumbi wa Kajumulo Foundation mjini Muleba mbunge wa jimbo hilo Profesa Anna Tibaijuka amesema vikundi alivyochangia fedha hizo ni vya wanawake , Vijana pamoja na wazee.
Profesa Tibaijuka amesema kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI

Mkurugenzi wa msaidizi (Mafunzo) Bibi Felister Tirutangwa akizungumza wakati wa mafunzo ya program ya TEAMMATE kwa ajili ya wakaguzi kutoka NAOT na Wizara ya Fedha. Mafunzo hayo yanafanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 02 hadi 06 Novemba, 2015.Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) na Wizara ya Fedha wakifuatilia kwa umakini mafunzo  ya program ya TEAMMATE. Mafunzo hayo yanafanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 02 hadi 06 Novemba, 2015.Mgeni rasmi wa mafunzo ya program ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu JKT watakiwa kuzingatia utii

JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wahitimu wa mafunzo ya awali kuzingatia utii na uwajibikaji katika jamii wanazoishi ili kuepuka migogoro. Aidha, kupitia mafunzo waliyoyapata yasiwe kwa faida yao pekee...

 

9 years ago

StarTV

Waratibu, wasimamizi watakiwa kuzingatia sheria

Waratibu, wasimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wao katika majimbo mbalimbali nchini wametakiwa kuhakikisha wanazifahamu vyema sheria, kanuni na taratibu zinazotawala mchakato huo na kuzizingatia ipasavyo wakati wote wa utekekelezaji wa majukumu waliyopewa.

Lengo ni kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na haki kwa kusimamia vyema zoezi la upigaji kura, kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ili kudumisha amani na utulivu uliopo.

Zikiwa zimebaki siku 24 kabla ya kufanyika kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

10 years ago

Habarileo

Watumishi wa mahakama watakiwa kuzingatia haki

MAHAKIMU na watumishi wa Mahakama katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara wamehimizwa kuzingatia maadili na weledi katika kazi ili kurejesha imani kwa wananchi kuwa mahakama ipo pale kutafasiri sheria na kutoa haki kwa watu wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani