Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. TIBAIJUKA ACHANGIA MIL 60 KUKUZA MITAJI YA WANAWAKE JIMBONI MWAKE

Zaidi ya vikundi 500 vya wajasiliamali kutoka kata 17 kati ya 25 zinazounda jimbo la Muleba Kusini Mkoani Kagera vimepokea mchango wa Shilingi milioni 60 kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo kwa lengo la kuboresha mitaji na kujipanua kiuchumi.Akihutubia wawakilishi wa vikundi hivyo jana katika ukumbi wa Kajumulo Foundation mjini Muleba mbunge wa jimbo hilo Profesa Anna Tibaijuka amesema vikundi alivyochangia fedha hizo ni vya wanawake , Vijana pamoja na wazee.
Profesa Tibaijuka amesema kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PROF.TIBAIJUKA"NANYANYASIKA PEKE YANGU BILA MSAADA WA WANAWAKE

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!Chanzo: Wapo Radio fm

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

5 years ago

Michuzi

Wazalishaji watakiwa kuzingatia mafunzo kukuza mitaji yao


Na Ripota Wetu Kongwa .

WILAYA  Kongwa imewataka wajasiriamali kuzingatia mafunzo yanayotolewa na Serikali pamoja na taasisi zake yenye lengo la kuboresha bidhaa wanazozizalisha, kukuza mitaji yao na hatimaye kupata uhakika wa soko la bidhaa.

Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kongwa, Audiphace Mushi, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Deogratius Ndenjembi, wakati akifungua mafunzo kwa wazalishaji wa mafuta ya alizeti na wauzaji wa bidhaa za chakula na dawa...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AWATAKA WAKULIMA KUJIUNGA CHAMA CHA USHIRIKA KUKUZA MITAJI YAO



Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amewataka wakulima kujiunga kwenye chama cha ushirika ili kuweza kukuza mitaji yao kwa kuitumia Benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB) iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kumwezesha mkulima.
Hayo alitasema katika uzinduzi wa shamba la mfano la upandaji wa miti lenye ukubwa wa hekali mbili uliofanywa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) katika kijiji cha Mikongo, Kata ya Kifanya wilayani Njombe ikiwa ni njia ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. Msolla achangia ujenzi wa josho

MBUNGE wa Kilolo, Prof. Peter Msolla (CCM), ameahidi kusaidia ujenzi wa josho katika Kijiji cha Ikuka, Kata ya Uhambingeto, Wilaya ya Kilolo kwa kuchangia vifaa vya ujenzi kama mabati, saruji...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal achangia mil 10/- Mfuko wa Elimu Kibaha

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameuchangia Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani kiasi cha Sh milioni 10.

 

10 years ago

GPL

PROF. TIBAIJUKA AKATAA KUJIUZULU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow. Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Tibaijuka kwanini usiwajibike?

NATAMANI kusikia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akijiuzulu. Ajiuzulu kutokana na migogoro ya ardhi kushamili nchini na kushindwa kutenga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani