madereva wa BRT watakiwa kuzingatia mafunzo, weledi katika kutoa huduma
![](http://4.bp.blogspot.com/-tK5NvkqYl2o/VdLS6BWtkPI/AAAAAAAHx5Q/gZmpPVQY6vU/s72-c/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
Serikali imewataka madereva walioanza kupata mafunzo ya kuendesha mabasi yatakayotumika katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) kuzingatia mafunzo hayo ya kihistoria hapa nchini. Mafunzo hayo yaliyoanza jana ni moja ya matayarisho ya kuanza kwa mradi huo katika kipindi cha mpito mwezi Oktoba mwaka huu. Akifungua rasmi mafunzo hayo jana jijini Dar es Salaam, Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia aliwataka madereva hao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YAWATAKA MADEREVA WA BRT KUZINGATIA MAFUNZO
9 years ago
MichuziWAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
9 years ago
Michuzi17 Aug
WATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI, WELEDI NA UBUNIFU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/178.jpg)
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara, Idara, Wakala,Taasisi, Halmashauri wako jijini Arusha kujadili mafanikio na changamoto za Serikali mtandao.
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/254.jpg)
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari akitoa ufafanuzi kuhusu Serikali Mtandao kwa washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao unaofanyika katika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
SERIKALI YAWATAKA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUZINGATIA WELEDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vtc5J0DTJXI/VCLT40NZ3dI/AAAAAAAGlik/vQVqBb9F6NY/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-neU-d-apMgk/VCLT4oU8akI/AAAAAAAGlig/JiiL9jV3wfU/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QVt6fxtGBNA/Xts092UAV5I/AAAAAAALsyc/dVKh_4MYzQ8afikq5IIHozEeWD-Y2C7eACLcBGAsYHQ/s72-c/Ofisi%2Bya%2BArdhi%2BRukwa.png)
Ofisi ya Ardhi Rukwa yaapa kutoa huduma kwa weledi na haki.
![](https://1.bp.blogspot.com/-QVt6fxtGBNA/Xts092UAV5I/AAAAAAALsyc/dVKh_4MYzQ8afikq5IIHozEeWD-Y2C7eACLcBGAsYHQ/s640/Ofisi%2Bya%2BArdhi%2BRukwa.png)
Msananga amesema kuwa lengo la wizara kuwapunguzia wananchi gharama za usafiri kufuata huduma ambazo hivi sasa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TF1qKofF9r8/XliYXkMG60I/AAAAAAALfxU/SsdKoM8dpPs0GRGP_5Rkk5ZgAUWWsBKJACLcBGAsYHQ/s72-c/09cdfb99-78ec-4bd6-b414-e92b17bba07b.jpg)
Wazalishaji watakiwa kuzingatia mafunzo kukuza mitaji yao
Na Ripota Wetu Kongwa .
WILAYA Kongwa imewataka wajasiriamali kuzingatia mafunzo yanayotolewa na Serikali pamoja na taasisi zake yenye lengo la kuboresha bidhaa wanazozizalisha, kukuza mitaji yao na hatimaye kupata uhakika wa soko la bidhaa.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kongwa, Audiphace Mushi, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Deogratius Ndenjembi, wakati akifungua mafunzo kwa wazalishaji wa mafuta ya alizeti na wauzaji wa bidhaa za chakula na dawa...
10 years ago
Dewji Blog11 May
Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida yatakiwa kuzingatia weledi katika taaluma yao
aimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Cosbert Mwinuka, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Singida Press Club (Singpress) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hotel ya Muhai iliyopo kijiji cha Nduguti.Wa pili kulia (walioketi) ni mwenyekiti wa Singpress, Seif Takaza na wa kwanza kulia ni makamu mwenyekiti wa Singpress,Damiano Mkumbo.
Baadhi ya wanachama wa Singpress,waliohudhuria mkutano mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye...
10 years ago
GPLMADEREVA DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO
10 years ago
MichuziASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...