SERIKALI YAWATAKA MADEREVA WA BRT KUZINGATIA MAFUNZO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadiki akizungumza katika uzinduzi wa semina ya mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka (BRT) leo jijini Dar es salaam, juu ya kuanza kwa kipindi cha mpito cha mradi huo Oktoba mwaka huu, Semina itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na mgeni rasmi Hawa Ghasia akizungumza katika uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) waliokaa mbele, kushoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tK5NvkqYl2o/VdLS6BWtkPI/AAAAAAAHx5Q/gZmpPVQY6vU/s72-c/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
madereva wa BRT watakiwa kuzingatia mafunzo, weledi katika kutoa huduma
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OAaQdD4O9Lw/VQbz4lulu7I/AAAAAAAHKwk/z4Y8sZYnnZo/s72-c/IMG_2994.jpg)
Serikali yawataka Vijana kuzingatia vigezo ili wapate mkopo
![](http://2.bp.blogspot.com/-OAaQdD4O9Lw/VQbz4lulu7I/AAAAAAAHKwk/z4Y8sZYnnZo/s1600/IMG_2994.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dysdnKnvozw/VQbz4V3l7lI/AAAAAAAHKwg/ftSk4IESODU/s1600/IMG_3017.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
SERIKALI YAWATAKA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUZINGATIA WELEDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-xhOlC1v97nk/VCLT4p3rZ2I/AAAAAAAGlis/5D0m5COz2W4/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vtc5J0DTJXI/VCLT40NZ3dI/AAAAAAAGlik/vQVqBb9F6NY/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-neU-d-apMgk/VCLT4oU8akI/AAAAAAAGlig/JiiL9jV3wfU/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Pipe Industries yawataka Watanzania kuzingatia ubora
KIWANDA cha utengenezaji mabomba ya plastiki, Pipe Industries, kimewataka Watanzania kuangalia ubora wa bidhaa na si kufuata bei nafuu. Akizungumza katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam, Ofisa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BjXKH2kdwcw/Vdb4f-w6ZuI/AAAAAAAHyxk/xBVGfAlViN4/s72-c/images.jpg)
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-BjXKH2kdwcw/Vdb4f-w6ZuI/AAAAAAAHyxk/xBVGfAlViN4/s1600/images.jpg)
1. Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union (TADWU) kuanzia wiki ijayo. Mpango huo umeelezwa kuwa njia mbadala ya tishio la mgomo lililotolewa na viongozi wa Chama hicho hapo awali, ili kuweza kupata suluhisho la malalamiko yao.
Malalamiko hayo yalihusu Mkataba ya Ajira inayokidhi matakwa ya kisheria, nyongeza ya posho na viwango vya...
10 years ago
Habarileo30 Jun
Mabasi ya mafunzo BRT kuanza karibuni
MRADI wa mabasi yaendayo kasi (BRT) umesema yapo mabasi mawili hadi sasa bandarini kwa ajili ya kutoa mafunzo katika barabara zilizojengwa nchini kwa ajili ya usafiri wa mabasi yaendayo kwa kasi.
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Serikali yawataka Watanzania kuiamini serikali na kuchukua tahadhari
11 years ago
MichuziKamanda Mpinga awafunda madereva wa UDA kuzingatia sheria za Usalama barabarani
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wakurugenzi wahimizwa kuzingatia mafunzo
VIONGOZI wa mashirika na kampuni mbalimbali katika sekta za umma na binafsi, wametakiwa kuhakikisha wanazingatia mafunzo ya mara kwa mara ili kumudu vema majukumu yao kwa faida ya taasisi na...