ASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII
Na Frank Geofray – Jeshi la Polisi, Moshi.
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MAAFISA USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA YA KUJIKINGA NA CORONA

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Hargeney Chituturo akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Arusha, katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha jana tarehe 28/03/2020.



Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Arusha wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona katika ukumbi wa Mikutano...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa watejaâ€
MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.
Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja
Dar es Salaam, Jumanne...
10 years ago
Michuzi14 Dec
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE

10 years ago
Dewji Blog29 Jun
MO ASSURANCE yajipanga kutoa huduma bora kwa watanzania maonyesho ya Sabasaba
Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Ravinshankar Venkatrama ( wa pili kushoto) akiwa na timu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo watakaokua wanatoa huduma katika Banda la MO ASSURANCE lilipo ndani ya mabanda ya MeTL Group kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza kurindima jana kwenye mabanda ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Afisa wa kampuni ya MO ASSURANCE,...
10 years ago
MichuziTupo kwa ajili yako katika kutoa huduma bora za ujenzi DMV
10 years ago
MichuziMAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA
10 years ago
GPL
MO ASSURANCE YAJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA MAONYESHO YA SABASABA
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECKY SADICK AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA