Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MO ASSURANCE yajipanga kutoa huduma bora kwa watanzania maonyesho ya Sabasaba

IMG_5136

Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE),  Ravinshankar Venkatrama ( wa pili kushoto) akiwa na timu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo watakaokua wanatoa huduma katika Banda la MO ASSURANCE lilipo ndani ya mabanda ya MeTL Group kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza kurindima jana kwenye mabanda ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Afisa wa kampuni ya MO ASSURANCE,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MO ASSURANCE YAJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA MAONYESHO YA SABASABA‏

Ofisa Mtendaji Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack akipiga 'selfie' na wafanyakazi wenzake. Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack katika picha ya pamoja na mbunifu wa mavazi nchini, Ally Rehmtulah alipotembelea banda la MO ASSURANCE. Muonekano wa nje wa banda la kampuni ya MO ASSURANCE ndani ya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa yalioanza kurindima...

 

11 years ago

Michuzi

PPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Kufanyika katika viwanja hivyo. Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

FAN CITY yajipanga kutoa burudani ya kipekee kwa Watanzania Pasaka

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea.

Untitled Mitambo ya kisasa...

 

11 years ago

Michuzi

FUN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA: YAFUNGA MITAMBO YA KISASA KWA AJILI YA MICHEZO YA KWENYE MAJI


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea. Mitambo ya kisasa iliyofungwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja‏

pic 1 (3)MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.

Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja

Dar es Salaam, Jumanne...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE


unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII

Na Frank Geofray – Jeshi la Polisi, Moshi.
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...

 

11 years ago

GPL

MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani