Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAN CITY yajipanga kutoa burudani ya kipekee kwa Watanzania Pasaka

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea.

Untitled Mitambo ya kisasa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

FUN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA: YAFUNGA MITAMBO YA KISASA KWA AJILI YA MICHEZO YA KWENYE MAJI


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea. Mitambo ya kisasa iliyofungwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fun City yajipanga kwa burudani Pasaka

WAKATI Watanzania wakiwa kwenye maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka, Kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la Fun City jijini Dar es Salaam, imeboresha burudani ikiwamo kuongeza mitambo yenye uwezo...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO ASSURANCE yajipanga kutoa huduma bora kwa watanzania maonyesho ya Sabasaba

IMG_5136

Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE),  Ravinshankar Venkatrama ( wa pili kushoto) akiwa na timu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo watakaokua wanatoa huduma katika Banda la MO ASSURANCE lilipo ndani ya mabanda ya MeTL Group kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza kurindima jana kwenye mabanda ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Afisa wa kampuni ya MO ASSURANCE,...

 

10 years ago

GPL

MO ASSURANCE YAJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA MAONYESHO YA SABASABA‏

Ofisa Mtendaji Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack akipiga 'selfie' na wafanyakazi wenzake. Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack katika picha ya pamoja na mbunifu wa mavazi nchini, Ally Rehmtulah alipotembelea banda la MO ASSURANCE. Muonekano wa nje wa banda la kampuni ya MO ASSURANCE ndani ya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa yalioanza kurindima...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band waendelea kutoa burudani ya kipekee ndani ya Thai Village huku ukishuhudia mechi za Kombe la Dunia Live!

DSC_0034

Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA.

DSC_0008

 Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.

DSC_0068

Divas watatu wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita. Kutoka kushoto ni Digna Mbepera,...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE NDANI YA THAI VILLAGE HUKU UKISHUHUDIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE!‏

Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA. Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.…

 

10 years ago

GPL

LUIS FIGO, CHRISTIAN KAREMBEU NA FERNANDO SANZ DURAN WAAHIDI KUTOA BURUDANI SAFI KWA WATANZANIA

Mratibu wa Ziara ya Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Real Madrid,Ssebo (wa tatu kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mechi ya kirafiki kati ya Tanzania Eleven na Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Real Madrid kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kesho.Mpaka sasa ni wachezaji watatu tu ndio waliowasili nchini huku wengine kadhaa wakitegemewa kuwasili mchana wa leo.Wachezahi hao ambao wapo nchini...

 

10 years ago

Michuzi

Luis Figo,Christian Karembeu na Fernando Sanz Duran waahidi kutoa burudani safi kwa watanzania

Mratibu wa Ziara ya Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Real Madrid,Ssebo (wa tatu kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mechi ya kirafiki kati ya Tanzania Eleven na Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Real Madrid kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kesho.Mpaka sasa ni wachezaji watatu tu ndio waliowasili nchini huku wengine kadhaa wakitegemewa kuwasili mchana wa leo.Wachezahi hao ambao wapo nchini hivi sasa ni Luis Figo (wa tatu kulia),Christian Karembeu (kulia)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rebecca Malope awasili nchini tayari kwa kutoa burudani, kuwashika vilivyo watanzania Diamond Jubilee leo

1

Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jana jioni tayari kutumbuiza kwenye tamasha la Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi, kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani