MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba. Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
MichuziPPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
GPLWATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF ATEMBELEA BANDA LAO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika maonyesho ya Sabasaba
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika jana.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu kazini, Wa kwanza Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko, Lulu Mengele.
Afisa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_5118.jpg)
MO ASSURANCE YAJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
MichuziWATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI