BALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayomalizika hivi leo. Â Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania Nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika maonyesho ya Sabasaba
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika jana.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu kazini, Wa kwanza Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko, Lulu Mengele.
Afisa...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF ATEMBELEA BANDA LAO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mh. Kabaka atembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba na kuvutiwa na Utendaji Kazi wa Mfuko huo
Mwenyekiti wa Bodi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah (Kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya sabasaba.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka akipokelewa na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar Es Salaam.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni...
10 years ago
Michuzi06 Aug
BALOZI MDOGO WA KENYA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA SIMBA CEMENT KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA
![IMG_1853](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/HRmjuMY9YOTbSvwEV6cS5KL8f2wcV9WfoU-Ajv3vf2eZz4WAQlalIqzYA2LBLND6tyBme2HOORaHm13oIi2D0n990S3zJWFg-HAzgHIxxaYKffylLHRUFE8=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/08/img_1853.jpg?w=660)
![IMG_1863](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/RFZYXKQVlc_OR1OmpbqKzDAh4WddEy_zaOZbJLl3zk0K0SOl3HUHI6i569MI7UPY24NLyAoWOsvV1W5uW6g4mwmiFvvv64CdNawjc9KQBwzvQdNZ1ZJVekQ=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/08/img_1863.jpg?w=660)
11 years ago
GPLMICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
GPLWATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea banda la kampuni ya Property International Limited katika maonyesho ya Sabasaba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali...