BALOZI MDOGO WA KENYA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA SIMBA CEMENT KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA
Aliyevalia shati la blue ni Balozi mdogo wa Kenya Tanzania,Boniface Muhia akiondoka katika banda la kampuni yaSimba Cement mara baada ya kutembelea banda hilo katika viwanja vya nane nane Themi jijini Arusha ,kushoto ni Mkurugenzi wa Kenya plant helth inspectorate service Bi.Esther Kimani(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Wananchi wakipata elimu katika banda la Simba Cement katika maonyesho ya nane nane ya kandaele ya kaskazini yanayoendelea katika viwanja vya njiro Themi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-94O9A6hDbYo/VcReU1OyB0I/AAAAAAAAElc/DwwMSi3IKWs/s72-c/2.jpg)
WANAFUNZI NA WANANCHI WAFURAHIA BANDA LA CHUO CHA UFUNDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-94O9A6hDbYo/VcReU1OyB0I/AAAAAAAAElc/DwwMSi3IKWs/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lotPTiG3R8k/VcReW6COLMI/AAAAAAAAElk/NkTbq2vbtcw/s640/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4GUi4tsxihQ/VcReZgOJupI/AAAAAAAAEls/KmWz-N-Ka2M/s640/4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CS00URYJY4o/VcWyPGP1FUI/AAAAAAAHvWE/SdBK_9_jn88/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
Mhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE
![](http://1.bp.blogspot.com/-CS00URYJY4o/VcWyPGP1FUI/AAAAAAAHvWE/SdBK_9_jn88/s640/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--DOnRmhtUJA/VcWyPAjzyXI/AAAAAAAHvWY/YcVOy2Z4Fns/s640/unnamed%2B%252837%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XluyWm0hZKw/VcWyPHDoixI/AAAAAAAHvWA/xVmfR1ZEQ2Y/s640/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika maonyesho ya Sabasaba
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika jana.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu kazini, Wa kwanza Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko, Lulu Mengele.
Afisa...
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha
![](http://4.bp.blogspot.com/-94O9A6hDbYo/VcReU1OyB0I/AAAAAAAAElc/DwwMSi3IKWs/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lotPTiG3R8k/VcReW6COLMI/AAAAAAAAElk/NkTbq2vbtcw/s640/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4GUi4tsxihQ/VcReZgOJupI/AAAAAAAAEls/KmWz-N-Ka2M/s640/4.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xgHRVfAY0gA/U-Gt7flVuiI/AAAAAAAF9cs/x7bAmViW4CM/s72-c/image_1.jpeg)
MKUU WA MKOA WA MTWARA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA, MKOANI LINDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-xgHRVfAY0gA/U-Gt7flVuiI/AAAAAAAF9cs/x7bAmViW4CM/s1600/image_1.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mDrhqtHwDcM/U-Gt7fffeHI/AAAAAAAF9cw/eaYGxQucySI/s1600/image_2.jpeg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lGnSrp4oR90/U94P58BXoBI/AAAAAAAF8mI/XHke9rzYBKE/s72-c/unnamed+(21).jpg)
MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-lGnSrp4oR90/U94P58BXoBI/AAAAAAAF8mI/XHke9rzYBKE/s1600/unnamed+(21).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-oGaM6Dzgq-8/U94P6HUk_KI/AAAAAAAF8mM/QspIjzi3t0c/s1600/unnamed+(22).jpg)
11 years ago
GPLBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI, MH. KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Mkuu wa Mkoa wa Katavi atembelea banda la Mbeya yetu nane nane amwaga sifa kem kem
Banda la Mbeya yetu Blog.
Mtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa Mkuu wa Mkoa wa katavi Mh.Dr Rajab Lutengwe jinsi mtandao wa Mbeya yetu unavyofanya kazi pia unavyosaidia upatikanaji wa habari kwa urahisi kabisa. Pia kuekeza sababu za Kushiriki katika mashindano ya nane nane ikiwa ni pamoja na Kutoa elimu juu ya mitandao ya kijamii na faida zake hasa upande wa Blogs na matumizi...
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA BANDA LA MBEYA YETU NANE NANE,AMWAGA SIFA KEM KEM
Dr. Lutengwe ametoa pongezi hizo hivi wakati akitoa tathmini yake mara baada ya kutembelea mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya wakulima maarufu kama Nane nane yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Alisema kuwa mtandao huu umeonesha...