MKUU WA MKOA WA MTWARA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA, MKOANI LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia(aliyevaa Kombati) akiangalia mazao ya chakula yanayolimwa katika Magereza mbalimbali hapa nchini kama yanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza katika kutekeleza jukumu lake la kuwalinda na kuwarekebisha Wafungwa huwapatia pia mbinu na Stadi za Kilimo bora ili waweze kuzitumia wanapomaliza vifungo vyao huko katika jamii zao. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akifurahia ubora wa bidhaa za ngozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
10 years ago
MichuziBANDA LA JESHI LA MAGEREZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA LINDI NJIA BORA ZA KISASA ZA UFUGAJI MIFUGO, MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA
Wananchi mbalimbali wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wanaotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza Maonesho ya Wakulima Nane Nane Kitaifa wananufaika na elimu inayotolewa bure na Maafisa Mifugo wa Jeshi hilo kuhusiana na njia bora na za Kisasa za Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na nyama.
Akizungumza umuhimu wa elimu hiyo kwa Wananchi, Mkuu wa Banda la Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro amesema lengo kubwa la kutoa elimu hiyo kwa Wananchi ni kusaidia kuboresha vipato vyao...
10 years ago
MichuziMhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita
Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...
11 years ago
MichuziWIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KWA WIZARA ZA HUDUMA ZA JAMII KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA - LINDI
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu
Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Mkuu wa Mkoa wa Katavi atembelea banda la Mbeya yetu nane nane amwaga sifa kem kem
Banda la Mbeya yetu Blog.
Mtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa Mkuu wa Mkoa wa katavi Mh.Dr Rajab Lutengwe jinsi mtandao wa Mbeya yetu unavyofanya kazi pia unavyosaidia upatikanaji wa habari kwa urahisi kabisa. Pia kuekeza sababu za Kushiriki katika mashindano ya nane nane ikiwa ni pamoja na Kutoa elimu juu ya mitandao ya kijamii na faida zake hasa upande wa Blogs na matumizi...