Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiangalia bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akipata maelezo juu ya  bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA, MKOANI LINDI

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia(aliyevaa Kombati) akiangalia mazao ya chakula yanayolimwa  katika Magereza mbalimbali hapa nchini kama yanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza katika kutekeleza jukumu lake la kuwalinda na kuwarekebisha Wafungwa huwapatia pia mbinu na Stadi za Kilimo bora ili waweze kuzitumia wanapomaliza vifungo vyao huko katika jamii zao. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akifurahia ubora wa bidhaa za ngozi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Afisa Mshiriki wa Maonesho ya Wakulima na Wafugaji katika Banda la Jeshi la Magereza, Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Yunge Saganda(kushoto) akitoa maelezo ya kitalaam kwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Regina Chonjo(kulia) namna viatu vya Ngozi vinavyotengenezwa na Jeshi hilo katika Kiwanda chake cha Gereza Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeshi la Magereza ni Miongoni mwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki kikamilifu katika Maonesho hayo ya Kitaifa Mkoani Lindi. Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA LINDI NJIA BORA ZA KISASA ZA UFUGAJI MIFUGO, MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA

Na Lucas Mboje, Lindi
Wananchi mbalimbali wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wanaotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza Maonesho ya Wakulima Nane Nane Kitaifa wananufaika na elimu inayotolewa bure na Maafisa Mifugo wa Jeshi hilo kuhusiana na njia bora na za Kisasa za Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na nyama.
Akizungumza umuhimu wa elimu hiyo kwa Wananchi, Mkuu wa Banda la Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro amesema lengo kubwa la kutoa elimu hiyo kwa Wananchi ni kusaidia kuboresha vipato vyao...

 

11 years ago

Michuzi

VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya maonesho Ngongo kilometya 17 kutoka Lindi mjini. VETA wamesheni vitu mbalimbali na mafunzo kwa wakulima na teknolojia za kisasa. Pia kuna mgahawa wa kisasa upo kibandani kwao na unatoa huduma zote za hoteli kuanzaia chakula na vinywaji vyote. SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG Mwanafunzi wa Uashi wa VETA,...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MDOGO WA KENYA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA SIMBA CEMENT KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA

IMG_1853Aliyevalia shati la blue ni Balozi mdogo wa Kenya Tanzania,Boniface Muhia akiondoka katika banda la kampuni yaSimba Cement mara baada ya kutembelea banda hilo katika viwanja vya nane nane Themi jijini Arusha ,kushoto ni Mkurugenzi wa Kenya plant helth inspectorate service Bi.Esther Kimani(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)IMG_1863Wananchi wakipata elimu katika banda la Simba Cement katika maonyesho ya nane nane ya kandaele ya kaskazini yanayoendelea katika viwanja vya njiro Themi...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KWA WIZARA ZA HUDUMA ZA JAMII KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA - LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akimpongeza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi  Msuya kwa ofisi hiyo kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi, Tarehe 8 Agosti , 2015. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia  kombe la kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi,...

 

10 years ago

Michuzi

WATEJA WAMIMINIKA BANDA LA NHC NANE NANE, LINDI

image (3)Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitia saini kwenye kitabu cha wageni kwenye banda la maonesho la NHC lilikuwapo katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi kulikokuwa kukifanyika maonesho hayo ya Nane Nane kitaifa.image (5)Wateja wakipata maelekezo kutoka kwa maafisa wa mauzo wa Shirika la Nymba la Taifa kwenye maonyesho ya Nane Nane Kitaifa Ngongo, Lindi. image (7)Wateja wakipata maelekezo kutoka kwa maafisa wa mauzo wa Shirika la Nymba la Taifa kwenye maonyesho ya Nane Nane...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi wamiminika banda la NHIF Nane Nane Lindi

Ofisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ambrose Manyanda akitoa huduma ya elimu inayohusu Mfuko kwa mdau aliyetembelea banda la Mfuko kwenye maonesho ya Nane Nane Mkoa wa Lindi. Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi Fortunata Raymond akiwakaribisha akina mama kwenye moja ya mabanda ya Mfuko kwa ajili ya kupata huduma ya upimaji wa Saratani huduma inayotolewa na Mfuko kwenye maonesho hayo. Wananchi wakisubiri kupata huduma ya upimaji afya bure katika banda la NHIF ambalo huduma za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani