Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu JKT watakiwa kuzingatia utii

JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wahitimu wa mafunzo ya awali kuzingatia utii na uwajibikaji katika jamii wanazoishi ili kuepuka migogoro. Aidha, kupitia mafunzo waliyoyapata yasiwe kwa faida yao pekee...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAHITIMU ADILI HIGH SCHOOL WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari Adili High School,Moshono Jijini Arusha,Profesa Raymond Mosha akiangalia kazi zilizoandaliwa na wanafunzi wa masomo ya Sayansi ikiwa ni sehemu ya mahafali ya kidato cha Nne.Wazazi wa wanafunzi wanaotarajia kuhitimu Kidato cha Nne wakifatilia kazi za ubunifu zilizoandaliwa kwaajili ya kuonesha uwezo wao katika masomo ya Sayansi kwenye  Mahafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari Adili High School.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AWATAKA WATUMISHI KUZINGATIA UTII WAKATI WA KAZI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewaasa Watumishi wachanga na wale wanaoendelea na Majukumu  yao kwa sasa katika Taasisi za Umma na zile Binafsi kuzingatia kwa kina suala la Utii kwenye utekelezaji wa Kazi za kuhudumia Jamii mahali popote pale.
Alisema Utii ndio dhana nzito, sahihi na inayobeba ngao kubwa kwa Mtumishi ye yote na matokeo yake hujikuta akipata fursa nyingi zinazomuwezesha kuheshimika sambamba na kupanda daraja katika maeneo yake ya Kazi.
Balozi Seif Ali...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Wahitimu wa JKT wasotea ajira

Rais Jakaya KikweteUMOJA wa Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT), waliomaliza mikataba yao ya miaka miwili ya mafunzo ya kujitolea na kurejea makwao tangu mwaka 2000, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate ajira za kudumu, ili mafunzo waliyopata wayatumie kujenga nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Wahitimu sita wa JKT kizimbani

WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya mkusanyiko usio halali.

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri

VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Wahitimu watano JKT watiwa mbaroni

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

JKT yawasuta wahitimu wanaotaka kuandamana

Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael MuhugaJESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliomaliza katika jeshi hilo, kutambua kuwa walikula kiapo cha utii wakati wa kuhitimu mafunzo, hivyo suala la kuandamana ni kinyume na kiapo chao.

 

11 years ago

Habarileo

JWTZ kuwapatia ajira wahitimu JKT

WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inaandaa mchakato wa kuwafuatilia na kuwapatia ajira mbalimbali na mafunzo ya kujiendeleza vijana wote waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ili wasijiingize katika vitendo vya uhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani