Wahitimu watano JKT watiwa mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Apr
Watano watiwa mbaroni kwa upigaji ramli
WATU watano wa kijiji cha Mheza kilichopo Kata ya Mhinduro wilayani Mkinga wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa wakipiga ramli za uchonganishi zilizolenga kufichua wachawi.
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI TABORA LAENDELEA NA OPERESHENI TOKOMEZA UHALIFU,WATANO WATIWA MBARONI
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waethiopia 76 watiwa mbaroni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND2t5uNBV*404bfUZooBJyJalotSTNkJm2HSnE4MNowFUckRwS99KCzVSWW0FxOpYvWp-K5Ce2PQ6kZ6CcI0TTYn/MJUKUU.jpg)
WAMSULUBU MJUKUU, WATIWA MBARONI
11 years ago
GPLPOLISI FEKI WATIWA MBARONI
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...
9 years ago
Habarileo19 Aug
Watuhumiwa 4 wa ujambazi watiwa mbaroni
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa wakiwa na bunduki mbili aina ya SMG zilizokuwa na risasi 40 za moto.