POLISI FEKI WATIWA MBARONI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale. Askari Polisi mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari feki katika ofisi…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Jun
Polisi Feki watiwa mbaroni mkoani Iringa
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale.
Na Francis Godwin,Iringa
MATAPELI washindwa kubaki njia kuu sasa waanza michepuko mipya ni baada ya jeshi la polisi mkoa wa...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA
Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao
Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI TABORA LAENDELEA NA OPERESHENI TOKOMEZA UHALIFU,WATANO WATIWA MBARONI
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waethiopia 76 watiwa mbaroni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.
10 years ago
Habarileo19 Aug
Watuhumiwa 4 wa ujambazi watiwa mbaroni
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa wakiwa na bunduki mbili aina ya SMG zilizokuwa na risasi 40 za moto.
11 years ago
GPL
WAMSULUBU MJUKUU, WATIWA MBARONI
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...