JWTZ kuwapatia ajira wahitimu JKT
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inaandaa mchakato wa kuwafuatilia na kuwapatia ajira mbalimbali na mafunzo ya kujiendeleza vijana wote waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ili wasijiingize katika vitendo vya uhalifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu wa JKT wasotea ajira
UMOJA wa Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT), waliomaliza mikataba yao ya miaka miwili ya mafunzo ya kujitolea na kurejea makwao tangu mwaka 2000, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate ajira za kudumu, ili mafunzo waliyopata wayatumie kujenga nchi.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
JK atunuku maofisa 23 JWTZ, Wakongo 414 wahitimu TMA
10 years ago
Habarileo26 Feb
Wahitimu sita wa JKT kizimbani
WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya mkusanyiko usio halali.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri
VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.
10 years ago
StarTV05 Jan
Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.
Na Mbone Harman,
Tanga.
Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.
Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Wahitimu JKT watakiwa kuzingatia utii
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wahitimu wa mafunzo ya awali kuzingatia utii na uwajibikaji katika jamii wanazoishi ili kuepuka migogoro. Aidha, kupitia mafunzo waliyoyapata yasiwe kwa faida yao pekee...
10 years ago
Habarileo23 Feb
JKT yawasuta wahitimu wanaotaka kuandamana
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliomaliza katika jeshi hilo, kutambua kuwa walikula kiapo cha utii wakati wa kuhitimu mafunzo, hivyo suala la kuandamana ni kinyume na kiapo chao.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wahitimu watano JKT watiwa mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Upelelezi kesi ya wahitimu JKT umekamilika — Wakili
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UPELELEZI wa kesi inayowakabili wahitimu sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) umekamilika .
Hayo yalielezwa jana na Wakili wa Serikali, Gines Tesha mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mwenyekiti wa Umoja wa wahitimu hao, George Mgoba, Makamu Mwenyekiti, Parali Kiwango, Katibu Linus Steven na wahitimu wengine, Emmanuel Mwasyembe, Ridhiwani Ngowi na Jacob Mang’wita.
Tesha alidai kwamba...