Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.
Na Mbone Harman,
Tanga.
Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.
Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU
10 years ago
MichuziWatumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ITCnkrKpSys/ViIRJXYczlI/AAAAAAAIAho/tmkKEh80SUE/s72-c/image_1.jpeg)
WAHITIMU WAASWA KUACHANA NA FIKRIA POTOFU KUWA ELIMU WANAYOIPATA ITAWAPATIA AJIRA SERIKALINI AU KWENYE SEKTA BINAFSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ITCnkrKpSys/ViIRJXYczlI/AAAAAAAIAho/tmkKEh80SUE/s640/image_1.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-lQi0GpbGI1Y/ViIRKhsfnmI/AAAAAAAIAh8/cSdwkMKdea8/s640/image_3.jpeg)
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
11 years ago
MichuziWAHITIMU WA UALIMU WAASWA KUTOKUKIMBILIA KUKOPA
10 years ago
Habarileo31 Dec
Askofu Mkude aasa viongozi kuwa waadilifu
WATUMISHI wa umma wa ngazi mbalimbali waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameombwa kuzisoma na kusikiliza kwa umakini hotuba mbalimbali za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili ziwaweke kwenye msingi wa kuwa na maadili mema, uadilifu na uwazi.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
RC ataka watumishi kuwa waadilifu na kufuata sheria
9 years ago
Habarileo23 Oct
Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri
VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.
10 years ago
Habarileo26 Feb
Wahitimu sita wa JKT kizimbani
WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya mkusanyiko usio halali.