WAHITIMU WA UALIMU WAASWA KUTOKUKIMBILIA KUKOPA
Mgeni rasmi Meneja Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)Taifa,Abrahamu Siyovelwa akizungumza na wahitimu katika mahafali ya chuo cha Mutco yaliyofanyika mwishoni mwa wiki. (picha zote na Denis Mlowe)
Mkuu wa chuo cha Mutco Leuterius Mheni akisoma taarifa ya chuo mbele ya wahitimu na wageni waalikwa katika mahafali ya kuhitimu astashahada ya ualimu chuoni hapo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika chuo hicho.
Baadhi ya wahitimu wa ualimu wakiwa katika mahafali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV05 Jan
Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.
Na Mbone Harman,
Tanga.
Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.
Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Wahitimu IJA-Lushoto waaswa kulinda maslahi ya umma
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akihutubua katika mahafali ya 14 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto wilayani Lushoto hivi karibuni.
Na Mwandishi Wetu
Wahitimu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto (IJA) wameaswa kutumia elimu waliyopata kwa kuwatumikia wananchi kwa uaminifu ili kulinda heshima ya chuo hicho.
Akizungumza hivi karibuni katika mahafali ya 14 ya chuo hicho yaliyofanyika wilayani Lushoto mkoani Tanga, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa...
10 years ago
GPL
WAHITIMU KIDATO CHA SITA JANGWANI WAASWA KUTUMIA ELIMU KAMA SILAHA YA UKOMBOZI
10 years ago
Michuzi
WAHITIMU WAASWA KUACHANA NA FIKRIA POTOFU KUWA ELIMU WANAYOIPATA ITAWAPATIA AJIRA SERIKALINI AU KWENYE SEKTA BINAFSI


11 years ago
Michuzi31 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA. FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...
11 years ago
Michuzi27 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1) 2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013) 3. MAFUNZO...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Mkuya: Serikali itaendelea kukopa
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, amesema serikali itaendelea kukopa licha ya deni la taifa kuongezeka, lengo lilikwa ni kufungua fursa za kiuchumi zaidi. Pia ameelezea sababu za...
11 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Jamii yahimizwa fursa za kukopa
JAMII imeshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye taasisi za fedha, benki na nyinginezo kujipatia mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Wito huo umetolewa na Meneja wa Benki ya Posta (TPB), tawi la Songea,...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Mambo ya kuzingatia kabla ya kukopa