Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu IJA-Lushoto waaswa kulinda maslahi ya umma

NWKS Lushoto 3

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akihutubua katika mahafali ya 14 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto wilayani Lushoto hivi karibuni.

Na Mwandishi Wetu

Wahitimu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto (IJA) wameaswa kutumia elimu waliyopata kwa kuwatumikia wananchi kwa uaminifu ili kulinda heshima ya chuo hicho.

Akizungumza hivi karibuni katika mahafali ya 14 ya chuo hicho yaliyofanyika wilayani Lushoto mkoani Tanga, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi


NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wassira asisitiza uwajibikaji kulinda maslahi ya taifa

 Stephen WassiraWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Stephen Wassira amekiri kuwa hali ilikuwa mbaya bungeni Ijumaa usiku wakati wa kujadili na kupitisha maazimio kuhusu sakata la uchotaji wa fedha za Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali duniani.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa moja ya wajibu mkubwa wa mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi ni kutetea na kulinda maslahi ya Watanzania walioko...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kulinda amani

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.

 

11 years ago

Michuzi

WAHITIMU WA UALIMU WAASWA KUTOKUKIMBILIA KUKOPA

  Mgeni rasmi  Meneja Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma  (PSPF)Taifa,Abrahamu Siyovelwa akizungumza na wahitimu katika mahafali ya chuo cha Mutco yaliyofanyika mwishoni mwa wiki. (picha zote na Denis Mlowe) Mkuu wa chuo cha Mutco Leuterius Mheni  akisoma taarifa ya chuo mbele ya wahitimu na wageni waalikwa katika mahafali ya kuhitimu astashahada ya ualimu chuoni hapo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika chuo hicho.  Baadhi ya wahitimu wa ualimu wakiwa katika mahafali...

 

10 years ago

StarTV

Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.

Na Mbone Harman,

Tanga.

Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.

Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.

Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki

Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.

Ni takribani wiki...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa NBAA wameaswa kulinda, kutunza na kusimamia viapo vya taaluma yao

09

Mgeni rasmi ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akimpongeza mmoja wa wahitimu wa CPA aliyefanya vizuri kwenye mitihani yake wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam.

10

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake Ludovick Utto akimpa mkono wa pongezi Mrithi wake katika nafasi hiyo Prof. Mussa Juma Assad wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA...

 

10 years ago

Michuzi

WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA

 Mkuu wa kitengo cha sheria wa Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi(OSHA),Joyce  Mwalubungu, akizungumza na wakandalasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri mkuu wa ufundi wa ujasiliamali na miradi kwa vijana Jelous Chirove akizungumza na wakandarasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani