Watanzania waaswa kulinda amani
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV12 Oct
Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki
Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.
Ni takribani wiki...
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Wahitimu IJA-Lushoto waaswa kulinda maslahi ya umma
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akihutubua katika mahafali ya 14 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto wilayani Lushoto hivi karibuni.
Na Mwandishi Wetu
Wahitimu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto (IJA) wameaswa kutumia elimu waliyopata kwa kuwatumikia wananchi kwa uaminifu ili kulinda heshima ya chuo hicho.
Akizungumza hivi karibuni katika mahafali ya 14 ya chuo hicho yaliyofanyika wilayani Lushoto mkoani Tanga, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4ygZaTC6za8/VTkB_ea2SLI/AAAAAAAHSy4/8hlaDJ1hKec/s72-c/IMG_3483.jpg)
WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-4ygZaTC6za8/VTkB_ea2SLI/AAAAAAAHSy4/8hlaDJ1hKec/s1600/IMG_3483.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WtYIDO8aS8U/VTkB-l3CmnI/AAAAAAAHSys/IGfMfwXMPFc/s1600/IMG_3516.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ocF_otqGgR4/VTkCBRwLgII/AAAAAAAHSzM/QMJ7Ka5tf-s/s1600/IMG_3548.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Ataka vyama kulinda amani
VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kulinda amani ya nchi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa kufanya kampeni za amani.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani
![Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Mohamed-Gharib-Bilal.jpg)
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
UN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10