UN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR
Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kutuma kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mali:Wanajeshi 2 wa kulinda amani wauawa
Wanajeshi wawili wa kulinda amani raia wa Burkina Farso katika shirika la Umoja wa Mataifa wameuawa na saba wengine kujeruhiwa
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Uganda kutuma wanajeshi zaidi Somalia
Askari zaidi wa Uganda wanatarajiwa kwenda mjini Mogadishu Somalia kuimarisha zaidi usalama katika ofisi za Umoja wa Mataifa
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Uingereza kutuma wanajeshi wake Somalia
Uingereza imetangaza kwamba itawatuma wanajeshi wake Somalia kusaidia wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanaolinda amani huko.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
AU kutuma walinda amani Burundi
Muungano wa Afrika umetangaza mpango wa kutuma walinda amani nchini Burundi kuzuia machafuko zaidi nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
UN yawazia kutuma walinda amani Burundi
Umoja wa Mataifa unatafakari wazo la kutuma walinda amani nchini Burundi iwapo machafuko nchini humo yatazidi na kuwa mapigano ya kimbari.
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wanajeshi wa Chad waondoka CAR
Chad imeamua kuondoa wanajeshi wake kutoka katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati ikisema kuwa wanatuhumiwa kwa kuchochea hali nchini humo
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Wanajeshi 2 wa Ufaransa wauawa CAR
Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa katika mapigano na waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR
Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wanajeshi waasi warejea kazini CAR
Wengi walioasi walikuwa Wakristo waliohofia kushambuliwa na wenzao waisilamu baada ya mapinduzi yaliyoongozwa na waasi wa Seleka.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania