Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Dec
Watanzania waaswa kulinda amani
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani
![Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Mohamed-Gharib-Bilal.jpg)
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Ataka vyama kulinda amani
VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kulinda amani ya nchi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa kufanya kampeni za amani.
9 years ago
StarTV08 Sep
Wanasiasa wahimizwa kulinda amani na utulivu
Wanasiasa wa vyama mbalimbali wametakiwa kuilinda na kuiendeleza amani na utulivu iliyopo nchini katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu kwa kutotoa maneno yatakayo hamasisha watanzania kufanya vurugu
Wakiongea na Star Tv baadhi ya wananchi wamesema kuwa toka nchi ipate uhuru haijawahi kufanya uchaguzi uliyo na ushindani mkubwa kama wa mwaka huu kutokana na joto la uchaguzi na ushabiki kuwa kubwa .
Mkuu wa wilaya ya Kondoa Shabani Kisu anapata nafasi katika uzinduzi...
9 years ago
Mwananchi18 Oct
JK: Tutaendelea kutoa majeshi kulinda amani
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Mali:Mwanajeshi wa kulinda amani auawa.
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Tunawapongeza wananchi kwa kulinda amani
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
UN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.