Mali:Mwanajeshi wa kulinda amani auawa.
Afisa mmoja wa kikosi cha kulinda amani katika Umoja wa Mataifa ameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo kazkazini mwa Mali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mali:Wanajeshi 2 wa kulinda amani wauawa
11 years ago
GPL
MWANAJESHI WA CANADA AUAWA
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mauaji Thailand: Mwanajeshi aliyeuwa watu 26 mji wa Korat auawa
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Seni aahidi kulinda mali za kijiji
MGOMBEA Uenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Nheleghani, Manispaa ya Shinyanga, Deus Seni (CHADEMA) ameahidi kulinda raslimali za kijiji kwa kuwabana wawekezaji. Akijinadi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi huo...
5 years ago
MichuziRC SINGIDA DK.NCHIMBI: NI WAJIBU WA SERIKALI KULINDA HAKI NA MALI ZA RAIA

10 years ago
Habarileo10 Dec
Watanzania waaswa kulinda amani
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.
10 years ago
Habarileo11 Dec
Ataka vyama kulinda amani
VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kulinda amani ya nchi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa kufanya kampeni za amani.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
10 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...