Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAJESHI WA CANADA AUAWA

Mapigano yalianzia sehemu hii ya kumbukumbu ya vita tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi nchini Canada. Mwanajeshi ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa nje na ndani ya Bunge la Canada mjini Ottawa katika tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi, ambapo mji huo mkuu upo chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wanajeshi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mali:Mwanajeshi wa kulinda amani auawa.

Afisa mmoja wa kikosi cha kulinda amani katika Umoja wa Mataifa ameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo kazkazini mwa Mali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji Thailand: Mwanajeshi aliyeuwa watu 26 mji wa Korat auawa

Mwanajeshi aliyeuwa watu 26 Korat auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuzingirwa usiku mzima kwenye jengo la kibiashara, polisi wamesema

 

5 years ago

CCM Blog

MWANAJESHI AFIKISHWA KORTINI

 Askari wa JWTZ Wilayani Nachingwea, Lindi Pascal Lipita(28), amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi Askari mwenzake ambaye ni Mpenzi wake Baserisa Ulaya.
Mtuhumiwa huyo alifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa huo, Maria Batulaine, na kusomewa shtaka linalomkabili.
Mwanasheria wa Serikali, Abdulrahman Mohamed, alidai kuwa askari hao walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba wivu ndio unaodaiwa kusababisha mauaji hayo.
Mwanasheria huyo wa serikali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hamas:Hatujateka mwanajeshi yoyote

Wapiganaji wa Palestina Hamas wamesema kuwa hawana habari kuhusu mwanajeshi wa Israel ambaye anadaiwa kutekwanyara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mwanajeshi wa Israel aliuawa

Jeshi la Israel limesema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ambaye aliaminika kutekwa na wapiganaji wa kipalestina ameuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi awauwa wenzake 3 Marekani

Miaka mitano baada ya tukio la kwanza mwanajeshi mwengine amewaua wenzake watatu kwa risasi Fort Hood Texas

 

9 years ago

Michuzi

MWANAJESHI FEKI ABAMBWA KIGOMA

Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza.
Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles miaka 27 mkazi wa kijiji cha Nyamori alikamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa kutoka kwa raia wema juu ya utapeli...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwanajeshi’ mwingine JKT mbaroni

mary NzukiNA ADAM MKWEPU DAR ES SALAAM
KATIBU wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wakiandamana kushinikiza Serikali kuwapatia ajira, Rinus Emmanuel amekamatwa jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wao George Mgoba, kutekwa wiki iliyopita na kisha kupigwa na kuteswa na watu wasiojulikana.
Hata hivyo Mgoba alihamishwa kutoka Hospitali ya Amana, Ilala na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ambapo anaendelea kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani