Mwanajeshi’ mwingine JKT mbaroni
NA ADAM MKWEPU DAR ES SALAAM
KATIBU wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wakiandamana kushinikiza Serikali kuwapatia ajira, Rinus Emmanuel amekamatwa jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wao George Mgoba, kutekwa wiki iliyopita na kisha kupigwa na kuteswa na watu wasiojulikana.
Hata hivyo Mgoba alihamishwa kutoka Hospitali ya Amana, Ilala na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ambapo anaendelea kupata...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqW0mUepe0BGFwufOGk1mmp1d4fxGmRcI24gfah2Drcty*8XSq-07v4Sbki8pw6NQ5y7pY0F4*VgDKHLwbNn4S4/KOPLOFEKI3.jpg?width=650)
MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKITAKA KUMTAPELI DC
9 years ago
Habarileo02 Nov
Jangili mwingine hatari atiwa mbaroni
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili, Boniface Mathew Mariango maarufu Shetani.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wahitimu watano JKT watiwa mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali jijini Dar es Salaam.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-vG01xDoC0qM/XkuZOy8YZwI/AAAAAAACy44/lAAAvZiKvagoT4pDOvkri5ajG5dUG68hACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MWANAJESHI AFIKISHWA KORTINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-vG01xDoC0qM/XkuZOy8YZwI/AAAAAAACy44/lAAAvZiKvagoT4pDOvkri5ajG5dUG68hACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Mtuhumiwa huyo alifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa huo, Maria Batulaine, na kusomewa shtaka linalomkabili.
Mwanasheria wa Serikali, Abdulrahman Mohamed, alidai kuwa askari hao walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba wivu ndio unaodaiwa kusababisha mauaji hayo.
Mwanasheria huyo wa serikali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNU6XGSgOOjKNoKeLlAm4VGwpvUpZPDLV--VuPQC1XMrrN*xXmuNJE-o5UBqcMy2IkofTKJyAh9qCOS9gR2kjwPt/_78463771_78463770.jpg?width=650)
MWANAJESHI WA CANADA AUAWA
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Hamas:Hatujateka mwanajeshi yoyote
10 years ago
Mtanzania21 Feb
‘Mwanajeshi’ ateswa kama Ulimboka
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwapatia ajira, George Mgoba, amelazwa katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa nyara na kisha kuteswa na watu wasiojulikana.
Mgoba ni miongoni mwa vijana waliowawakilisha wenzao zaidi ya 300 kukutana na viongozi wa juu wa Serikali hivi karibuni, akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuzungumzia kilio chao na kupinga...