Mwanajeshi awauwa wenzake 3 Marekani
Miaka mitano baada ya tukio la kwanza mwanajeshi mwengine amewaua wenzake watatu kwa risasi Fort Hood Texas
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Mwanajeshi wa Rwanda auwa wenzake CAR
Askari wa Rwanda katika kikosi cha kuweka amani Jamhuri ya Afriya Kati auwa wenzake wane
10 years ago
VijimamboMRATIBU WA MATAWI YA CHAMA CHA CCM MAREKANI AWAKARIBISHA NYAMA CHOMA MAKADA WENZAKE
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Mlipuaji awauwa watu 6 Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema mshambuliaji wa kike ya kutolea mhanga ameshambulia kituo kikuu cha basi katika mji wa Kaskazini Mashariki wa Damaturu na kusababisha mauaji ya watu sita.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-vG01xDoC0qM/XkuZOy8YZwI/AAAAAAACy44/lAAAvZiKvagoT4pDOvkri5ajG5dUG68hACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MWANAJESHI AFIKISHWA KORTINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-vG01xDoC0qM/XkuZOy8YZwI/AAAAAAACy44/lAAAvZiKvagoT4pDOvkri5ajG5dUG68hACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Mtuhumiwa huyo alifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa huo, Maria Batulaine, na kusomewa shtaka linalomkabili.
Mwanasheria wa Serikali, Abdulrahman Mohamed, alidai kuwa askari hao walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba wivu ndio unaodaiwa kusababisha mauaji hayo.
Mwanasheria huyo wa serikali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNU6XGSgOOjKNoKeLlAm4VGwpvUpZPDLV--VuPQC1XMrrN*xXmuNJE-o5UBqcMy2IkofTKJyAh9qCOS9gR2kjwPt/_78463771_78463770.jpg?width=650)
MWANAJESHI WA CANADA AUAWA
Mapigano yalianzia sehemu hii ya kumbukumbu ya vita tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi nchini Canada. Mwanajeshi ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa nje na ndani ya Bunge la Canada mjini Ottawa katika tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi, ambapo mji huo mkuu upo chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wanajeshi.…
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Mwanajeshi wa kwanza wa UN afariki CAR
Mwanajeshi mmoja wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa amekuwa afisa wa kwanza wa kuweka amani kufariki nchini CAR
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QrXJJ3opWkU/Vjc72W77YpI/AAAAAAAID5Y/kClZffxD6_A/s72-c/20151102022546.jpg)
MWANAJESHI FEKI ABAMBWA KIGOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-QrXJJ3opWkU/Vjc72W77YpI/AAAAAAAID5Y/kClZffxD6_A/s640/20151102022546.jpg)
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Fednandi Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo feki alikamatwa jana eneo la kazuramimba katika Wilaya ya uvinza.
Mtui alisema kuwa mwanajeshi huyo alitambulika kwa jina la James Charles miaka 27 mkazi wa kijiji cha Nyamori alikamatwa baada ya kuwepo kwa taarifa kutoka kwa raia wema juu ya utapeli...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBug4RQmdW2ChZ4CylzofQ2tZM1*C9L9KH97QGMvorMiS9Y16iWXmiM5brZ1Suj2Gpn66Ia30pbq7vNPM1CLGd4S/12.jpg?width=650)
MCHUNGAJI, MKE WA MWANAJESHI LAIVU!
Waandishi wetu
DUNIA inaelekea mwisho. Mchungaji mmoja wa Kanisa la Pentekoste, raia wa Kenya aitwaye Pasca Mugambi hivi karibuni alinaswa chumbani ‘live’ katika gesti moja iliyopo Manzese Tip Top akiwa na mke wa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye ni muunini wake, Risasi Mchanganyiko linakupa kisa kamili. Mchungaji Pasca Mugambi akikosa la kufanya baada ya kufumaniwa. TUJIUNGE NA CHANZO
...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania