Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mkude aasa viongozi kuwa waadilifu

ASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la MorogoroWATUMISHI wa umma wa ngazi mbalimbali waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameombwa kuzisoma na kusikiliza kwa umakini hotuba mbalimbali za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili ziwaweke kwenye msingi wa kuwa na maadili mema, uadilifu na uwazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Askofu Mkude aonya kupanda gharama za umeme

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude, amesema ,kupanda kwa gharama za umeme kwa asilimia zaidi ya 40 kuanzia Januari 2014 , si habari nzuri hata kidogo.

 

10 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.

Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...

 

10 years ago

StarTV

Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.

Na Mbone Harman,

Tanga.

Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.

Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.

Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...

 

10 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU

Kaimu Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Jasper Mero (Mbele) akiingia katika ukumbi wa Kings way kufungua mafunzo ya awali (Induction course) kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yanayofanyika katika Hoteli ya Kings Way Mkoani Morogoro.Mkurugenzi Msadizi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Bibi Eliaika Manyanga (Kulia) akizungumza na waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo katika mafunzo ya awali (Induction course) yanayofanyika katika Hoteli...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Maina: Tume iwabane viongozi wasio waadilifu

>Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Maadili ya Viongozi,  Jaji mstaafu William Maina, ameishauri tume hiyo kuomba ipewe nguvu zaidi ili iweze kuwachukulia hatua viongozi wanaokiuka maadili ya kazi zao.

 

11 years ago

Mwananchi

RC ataka watumishi kuwa waadilifu na kufuata sheria

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Eraston Mbwilo, amewataka wafanyakazi mkoani humo kufanya kazi kwa uadilifu na kufuata sheria kwa kutoa huduma stahiki kwa wateja wao, ili kuboresha ufanisi wa kazi zao.

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU NA WENYE SIFA

Na Anna Nkinda – Lindi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa Kata ya Ng’apa wilaya ya Lindi mjini kuchagua viongozi waadilifu na wenye sifa ambao watawaongoza wananchi kusimamia shughuli za maendeleo yao.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini alitoa rai hiyo jana wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za mitaa uliofanyika katika...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mrimia Mchomvu (aliyesimama), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wapya wa Wizara hiyo (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa Mafunzo Elekezi uliofanyika Jumatatu - Machi 23, 2015, katika Ukumbi wa Elimu ya Watu Wazima – Dar es Salaam. Mkurugenzi Mchomvu alifungua rasmi mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Ngosi Mwihava.
Mmojawapo wa Washiriki wa Mafunzo Elekezi kutoka Wizara ya Nishati na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani