Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Gpi2OMrT07w/VIFGJSogccI/AAAAAAAG1V4/UtmTynQCC3c/s72-c/MAMA-SALMA1.jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU NA WENYE SIFA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Gpi2OMrT07w/VIFGJSogccI/AAAAAAAG1V4/UtmTynQCC3c/s1600/MAMA-SALMA1.jpg)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa Kata ya Ng’apa wilaya ya Lindi mjini kuchagua viongozi waadilifu na wenye sifa ambao watawaongoza wananchi kusimamia shughuli za maendeleo yao.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini alitoa rai hiyo jana wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za mitaa uliofanyika katika...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Vijana waaswa kuchagua viongozi makini
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimewataka vijana kutotumika kama daraja la kupata viongozi wabovu, wasio kuwa na sifa kwa jamii, baada ya kuchukua fedha chafu kutoka kwa watu wanaoomba nafasi ya uongozi.
10 years ago
StarTV13 Jan
Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.
Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...
10 years ago
MichuziVIJANA WALIOTIMIZA MIAKA 18 WAASWA KUPIGA KURA ILI KUCHAGUA VIONGOZI WANAO WATAKA.
Nae Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali Tanzania People with Disabilities Organization (TAPWAO), Michael Mwanzalima ameomba tume ya uchaguzi kutoa vipaumbele kwa walemavu wa viungo mbalimbali siku ya kupiga kura ili isiwe kikwazo kwao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25...
9 years ago
GPLTGNP YAWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI BORA
10 years ago
MichuziWATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU
10 years ago
StarTV05 Jan
Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.
Na Mbone Harman,
Tanga.
Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.
Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...
10 years ago
MichuziWatumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu
10 years ago
Habarileo31 Dec
Askofu Mkude aasa viongozi kuwa waadilifu
WATUMISHI wa umma wa ngazi mbalimbali waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameombwa kuzisoma na kusikiliza kwa umakini hotuba mbalimbali za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili ziwaweke kwenye msingi wa kuwa na maadili mema, uadilifu na uwazi.