TGNP YAWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI BORA
Mmoja wa wawezeshaji wa kikundi kilichokuwa kimeshiriki katika Tamasha la Jinsia la TGNP, Darius Mhawi akitoa maada mbalimbali zilizohusu masuala ya upatikanaji wa maji safi na salama. Moja ya kikundi kikifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika tamasha hilo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Nakalekwa watakiwa kuchagua viongozi bora
WAKAZI wa Mtaa mpya wa Nakalekwa Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, wametakiwa kuwachagua viongozi bora wa mtaa huo wanaofahamu shida zinazowakabili ikiwemo kubomolewa na kuchomewa moto makazi yao...
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-R5kWAeNMFfU/Ux4A--JfeiI/AAAAAAAFSy8/6oYjoP8mWhQ/s72-c/mc1.jpg)
Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo
![](http://3.bp.blogspot.com/-R5kWAeNMFfU/Ux4A--JfeiI/AAAAAAAFSy8/6oYjoP8mWhQ/s1600/mc1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5TedMsx01Hs/Ux4A_rJE6cI/AAAAAAAFSzI/M5EnrKL9Fsw/s1600/mc3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1IJzxYuXJ1Y/Ux4A_bemEzI/AAAAAAAFSzA/c2ob1aNezE0/s1600/mc4.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZwoVTDf9oxQ/Xlk5D1WVZ9I/AAAAAAALf84/85Gd7pMs_jYA3gciF-u3biWgaZ1I3uDQQCLcBGAsYHQ/s72-c/708f3f9e-d3f7-420c-a211-f160d3f9c29f%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Bongo Movies03 Jul
Msungu: Wasanii Tujipange Kuchagua Kiongozi Bora
MWIGIZAJI wa kiume wa filamu Stanley Msungu ‘Senator’ amewashauri wasanii kushiriki katika uchaguzi ujao kwa kujiandikisha katika daftari la kupiga kura na kumchagua kiongozi sahihi na si ushabiki kwani kuna vitu vingi kutoka kwa wasanii vinahitajika viwekwe sawa kwa jamii na wasanii pia.
“Uchaguzi wa mwaka huu una changamoto kwani haijawahi kutokea watangqaza nia wakawa wengi kama mwaka huu, kiasi kwama hata baadhi ya wananchi wanachanganyikiwa wamchague nani? Japo kwa baadhi ya wanachama...
9 years ago
StarTV09 Sep
Watanzania waombwa kuchagua wagombea wa CCM
Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi Kata ya Kisarawe II jijini Dar es Salaam Issa Zahoro amewataka watanzania kufanya uchaguzi sahihi Oktoba 25 mwaka kwa kuwachagua wagombea wa CCM.
Amesema kuichagua CCM ni njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendeleza amani iliyopo kwani hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya Chama hicho.
Akizundua Kampeni za Udiwani, Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar Es Salaam, Zahoro amesema hakuna asiyefahamu kwamba CCM imefanikiwa...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Vijana waaswa kuchagua viongozi makini
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimewataka vijana kutotumika kama daraja la kupata viongozi wabovu, wasio kuwa na sifa kwa jamii, baada ya kuchukua fedha chafu kutoka kwa watu wanaoomba nafasi ya uongozi.
9 years ago
StarTV12 Oct
Pinda awataka watanzania kuchagua Rais mwajibikaji
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi taifa Mizengo Pinda amewataka watanzania kutofanya makosa kuwachagua wagombea wasiokuwa na uwezo wakuongoza na kuleta maendeleo ya kweli akidai kuwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko ya kweli kwa awamu ya tano.
Pinda amezungumza hayo katika vijiji vya Mwamapuli na Usevya kwenye mikutano ya hadhara ya kumnadi mgombea urais wa CCM pamoja na mbunge ...
10 years ago
StarTV13 Jan
Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.
Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...