Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uharibifu wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa. Picha na Frank Shija - WHVUM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

TEDDY DAVIS: Mjasiriamali anayehimiza Watanzania kuthamini vya kwao

TEDDY Alban Davis,  ni  mwekezaji  mdogo  na wa kati wa mkoa wa Pwani  hususan Wilaya ya Bagamoyo  kwa kuwekeza kwenye bidhaa mbalimbali  na kinywaji. Davis, Mkurugenzi wa Smoke House Store,...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANA WAASWA KUTUNZA NA KUTHAMINI MAZINGIRA

002Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Binilith Mahenge akimkaribisha mgeni Rasmi ili aweze kuzindua maadhimisho ya wiki ya Mazingira duniani katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga.001Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu akitoa maelezo kwa mgeni Rasmi Mheshimiwa Samuel Sitta alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maadhimisho ya wiki ya siku ya mazingira jijini Tanga. Wengine wanaosikiliza ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Viwanja vya michezo vya shule virudishwe

Mara nyingi tumeandika kwamba Serikali inatakiwa kuhakikisha shule zote, kuanzia za awali, msingi na sekondari zinakuwa na viwanja vya michezo mbalimbali kwa sababu michezo ni sehemu ya mtaala wa masomo, ambapo mwanafunzi anatakiwa afanye bidii katika masomo darasani na kufanya bidii katika michezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Viwanja vya michezo virudishwe serikalini

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaelekea raundi ya tano lakini makocha na wachezaji nao wanaendelea na lawama zao dhidi ya ubora wa viwanja wanavyovitumia.

 

11 years ago

GPL

WAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo

SAM_0096

Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0090

Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0086

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania kuendelea kuula viwanja vya Bayport

Meneja Biashara wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Thabit Mndeme, kushoto, akizungumza jambo wakati akitangaza taasisi yao kuendelea kutoa huduma ya mradi wa viwanja vya Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ulioanza Mei 22, mwaka huu na kupokewa vizuri na Watanzania wengi. Kulia ni IT Meneja wa Taasisi hiyo, Daud Mavule.
WATANZANIA wenye nia ya kumiliki ardhi, wataendelea kuipata fursa hiyo baada ya Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, kuwapatia...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WACHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Hawa ni miongoni mwa Watanzania waliohamasika kutembelea katika viwanja vilivyokuwa kwenye mradi wa Vikuruti kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambavyo vinatolewa kwa wananchi kwa mkopo. Wakopaji ni watumishi wa umma, kampuni binafsi na wajasiriamali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani