Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wazazi Mtwara watakiwa kuthamini elimu


Na Clarence Chilumba, Mtwara
SERIKALI imewataka wazazi na walezi mkoani Mtwara, kuwapeleka shule watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. 
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, wakati akizungumza na Uhuru mjini hapa.

Alisema elimu ndiyo itakayowasaidia vijana wa Mtwara kunufaika na  uchumi wa gesi, ambao unapatikana katika mkoa huo.
Alisema kama watoto wa mikoa ya kusini hawatapata elimu, wataishia kufanyakazi za chini,...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uharibifu wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa. Picha na Frank Shija - WHVUM

 

10 years ago

Habarileo

Waajiri watakiwa kufuata sheria

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Waajiri watakiwa kuwapa kipaumbele wasioona

Waajiri nchini wametakiwa kutambua kuwa watu wasioona wana mchango mkubwa kazini kwa vile wana uwezo mkubwa wakipewa fursa.

Mbali ya kuwa wachapakazi pia ni wabunifu hivyo waajiri hawana budi kuwapa kipaumbele.

Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali kubwa ikiwa ni kuendesha maisha yao na fursa ya ajira.

Katika maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe Kitaifa Mkoani Tabora,Serikali inakiri kutambua changamoto walizonazo wasioona.

Maadhimisho hayo yaliyoshirikisha wasioona...

 

9 years ago

StarTV

Waajiri wakumbushwa kutoa ruhusa kwa Michezo Ya Shimuta.  

 

 

Michuano ya SHIMUTA inayohusisha wafanyakazi wa mashirika ya umma, kampuni za watu binafsi na taasisi zilizopo  hapa nchini imezinduliwa rasmi mkoani Arusha  huku washiriki wakiwataka waajiri kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki katika michezo.

Washiriki hao wameeleza sababu ya baadhi ya waajiri wasio na mapenzi na michezo kushindwa kutoa hamasa sehemu za kazi kwa kutokujua faida zitokanazo na michezo.

 Ni wajibu wa viongozi kuinua na kuendeleza michezo mahala pa kazi “ni kauli mbiu yenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Viwanja vya michezo virudishwe serikalini

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaelekea raundi ya tano lakini makocha na wachezaji nao wanaendelea na lawama zao dhidi ya ubora wa viwanja wanavyovitumia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi serikalini watakiwa kutoshiriki siasa

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Shirika la Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON) wametaka viongozi wa serikali kutoshiriki katika kampeni na kuwaachia wanasiasa wenyewe. Mratibu...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI

 Vijana Mkoani Kagera wametakiwa kuondokana na kutegemea ajira toka serikalini badala yake wajijengee mazingira ya kuwezeshwa kwa kukaa katika makundi ili wanufaike na fursa mbali mbali zitolewazo na serikali.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani