Waajiri watakiwa kuwapa kipaumbele wasioona
Waajiri nchini wametakiwa kutambua kuwa watu wasioona wana mchango mkubwa kazini kwa vile wana uwezo mkubwa wakipewa fursa.
Mbali ya kuwa wachapakazi pia ni wabunifu hivyo waajiri hawana budi kuwapa kipaumbele.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali kubwa ikiwa ni kuendesha maisha yao na fursa ya ajira.
Katika maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe Kitaifa Mkoani Tabora,Serikali inakiri kutambua changamoto walizonazo wasioona.
Maadhimisho hayo yaliyoshirikisha wasioona...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV12 Nov
Serikali yajipanga kuwapa elimu walemavu wasioona
Serikali imepanga kuwapa elimu walemavu wasioona nchini ili waweze kuendesha maisha yao kwa kumiliki miradi na kuondokana na dhana ya ombaomba.
Katika kuwapatia elimu hiyo Serikali imeandaa kongamano la kuwaelimisha mipango yake kuhusu umuhimu wao na namna inavyowajali.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao ikiwemo ugumu wa maisha lakini sasa matumaini makubwa yapo mbele yao mara baada ya serikali kupanga kuwapa elimu ili kupata ujuzi wa kumiliki...
9 years ago
StarTV11 Nov
Rais Magufuli ashauriwa kuwapa kipaumbele wanawake
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini wamemshauri Rais John Magufuli kutekeleza ahadi zake kwa vitendo ikiwemo kuteua wanawake zaidi katika nafasi za juu za uongozi.
Wanaharakati hao wamemsisitiza Rais Magufuli kuunda Baraza la Mawaziri lenye sura za usawa wa kijinsia ili kuondoa mfumo dume katika uamuzi.
Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu, wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu baraza jipya la mawaziri, ambapo wanaharakati wa kutetea haki za wanawake...
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU UWT AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUWAPA WANAWAKE KIPAUMBELE
Charles James, Michuzi TV
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Queen Mlozi amempongeza Rais Dk John Magufuli kwa kuwapa nafasi za uongozi wanawake kwenye serikali yake ya awamu ya tano.
Katibu huyo ametoa pongezi hizo pamoja na kumuomba Rais Magufuli kuendelea kuwapa nafasi kwani waliopo wameonesha jinsi gani mwanamke akipewa nafasi anaweza kufanya vizuri.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani itakayofanyika Machi 8,...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
11 years ago
GPLWAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO
9 years ago
StarTV10 Nov
Wana CCM watakiwa kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar Es Salaam kimewataka wananchi kuwapa ushirikiano madiwani wa chama hicho waliochaguliwa ili wawatumikie na kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi wakati wa Kampeni.
CCM imesema Madiwani wa chama hicho wamejipanga kutumikia wananchi wote bila kujali tofauti zao, lengo ni kubadilisha maisha ya wananchi wanyonge kwa kupata hudumu muhimu ikiwemo Elimu, Afya, Maji miundombinu ya Barabara na kuboresha upatikanaji wa ajira kwa vijana.
Juma Simba Gadaffi ni...
11 years ago
Michuzi
VIONGOZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATAKIWA KUTOA KIPAUMBELE MAPAMBANO DHIDI YA MAABUKIZI MAPYA YA VVU.


10 years ago
Michuzi
VIJANA Kilimanjaro watakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Moshi Vijijini, Innocent Melleck alipokuwa akizungumza na waandishi wahabari juu ya mkakati wa kupambana na wimbi la vijana walio mitaani kwa kukosa ajira katika mkoa wa Kilimanjaro . Melleck alisema anatarajia kuitisha...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Wasioona wataka NEC iwaelimishe