Rais Magufuli ashauriwa kuwapa kipaumbele wanawake
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini wamemshauri Rais John Magufuli kutekeleza ahadi zake kwa vitendo ikiwemo kuteua wanawake zaidi katika nafasi za juu za uongozi.
Wanaharakati hao wamemsisitiza Rais Magufuli kuunda Baraza la Mawaziri lenye sura za usawa wa kijinsia ili kuondoa mfumo dume katika uamuzi.
Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu, wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu baraza jipya la mawaziri, ambapo wanaharakati wa kutetea haki za wanawake...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WPVH2X2c3_w/XmFZ7YoM0cI/AAAAAAALhbQ/0ZicZqFIsYQGWr_wDE5dX1dWffa8zUCogCLcBGAsYHQ/s72-c/8a8e3752-dcd6-4de9-a19c-5be6977a338f.jpg)
KATIBU MKUU UWT AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUWAPA WANAWAKE KIPAUMBELE
Charles James, Michuzi TV
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Queen Mlozi amempongeza Rais Dk John Magufuli kwa kuwapa nafasi za uongozi wanawake kwenye serikali yake ya awamu ya tano.
Katibu huyo ametoa pongezi hizo pamoja na kumuomba Rais Magufuli kuendelea kuwapa nafasi kwani waliopo wameonesha jinsi gani mwanamke akipewa nafasi anaweza kufanya vizuri.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani itakayofanyika Machi 8,...
9 years ago
StarTV13 Nov
Waajiri watakiwa kuwapa kipaumbele wasioona
Waajiri nchini wametakiwa kutambua kuwa watu wasioona wana mchango mkubwa kazini kwa vile wana uwezo mkubwa wakipewa fursa.
Mbali ya kuwa wachapakazi pia ni wabunifu hivyo waajiri hawana budi kuwapa kipaumbele.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali kubwa ikiwa ni kuendesha maisha yao na fursa ya ajira.
Katika maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe Kitaifa Mkoani Tabora,Serikali inakiri kutambua changamoto walizonazo wasioona.
Maadhimisho hayo yaliyoshirikisha wasioona...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Dk Magufuli ashauriwa kufumua mfumo wa elimu
9 years ago
StarTV04 Nov
Rais Kikwete ashauriwa kutafuta suluhu Zanzibari
Baadhi ya Vyama vya Siasa kutoka Upinzani vimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutafuta suluhisho kuhusu sintofahamu ya Uchaguzi wa Zanzibar ili kuwahakikishia Wazanzibar imani kwa mustakabari wa maendeleo ya Taifa.
Wamesema pamoja na Rais Kikwete kubakiza siku chache za uongozi bado ana nafasi kubwa ya kuhakikisha Wazanzibar wanakuwa na Rais wao kwa njia ya amani na Demokrasia.
Zikiwa zimepita siku tangu Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya urais, Madiwani...
10 years ago
Habarileo08 Mar
Serikali kutoa kipaumbele uwezeshaji wanawake
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema serikali za awamu zote nne za uongozi zimekuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika masuala yanayohusu uwezeshaji wanawake kwenye nyanja zote ili kuleta usawa wa kijinsia.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Wanawake wataka huduma za jamii zipewe kipaumbele
BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mjini Dodoma, ambapo wajumbe watajadili hoja mbalimbali. Kama zitapita, zitarudishwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni na kuwa sheria za nchi (Katiba)....
11 years ago
Michuzi24 Feb
WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WAJASIRIMALI
![DSC_0935](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0935.jpg)
Na Damas Makangale
WAMILIKI Wote wa maeneo ya biashara nchini wameombwa kutoa nafasi ya maeneo ya biashara kwa wajasirimali wanawake ili...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Wema Aendelea Kuwapa Hamasa Wanawake,Chukua Hii Kutoka Kwake
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza kuposti jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na huku akitumia tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.
Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia maendeleo huu ni muendelezo tu....
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0935.jpg)
WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WAJASIRIMALI