Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Magufuli ashauriwa kufumua mfumo wa elimu

Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk John Magufuli, imeshauriwa kufumua mfumo wa elimu nchini kisha uchambuliwe na kuusuka upya ili kuleta tija kwa walengwa.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka chombo maalumu kufumua mfumo dume

CHOMBO maalumu ni njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume hivyo kuwa nyuma kiuchumi na kiuongozi.

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli ashauriwa kuwapa kipaumbele wanawake

Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini wamemshauri Rais John Magufuli kutekeleza ahadi zake kwa vitendo ikiwemo kuteua wanawake zaidi katika nafasi za juu za uongozi.

Wanaharakati hao wamemsisitiza Rais Magufuli kuunda Baraza la Mawaziri lenye sura za usawa wa kijinsia ili kuondoa mfumo dume katika uamuzi.

 Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu, wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu baraza jipya la mawaziri, ambapo wanaharakati wa kutetea haki za wanawake...

 

5 years ago

Michuzi

Haki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19

 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

10 years ago

Mwananchi

Huu si mfumo wa elimu wa karne ya 21

Licha ya rasilimali na utajiri mwingi tulionao, Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani. Umaskini wa nchi yetu unasababishwa na mambo kadhaa yakiwamo ombwe la uongozi, mgawanyo wa rasilimali za nchi usio sawa na mfumo duni wa elimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa elimu wakwaza wazazi

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza, umebaini kuwa wazazi hawana matumaini na mfumo wa elimu unaotumika hivi sasa kufundishia kama utawasaidia watoto kupata ujuzi na stadi kwa kiwango wanachostahili kupata wakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo wa elimu una matatizo’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema mfumo wa elimu nchini una matatizo 10 yanayokwamisha mafanikio katika sekta hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Mfumo wa elimu ubadilishwe

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa ameitaka serikali kubadilisha mfumo mbovu wa elimu uliyopo sasa ili kujenga taifa la wasomi waliyoelimika si bora wasomi....

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo wa elimu upitiwe upya’

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali kupitia upya mfumo wa elimu na kuanzisha ule unaoongeza uwezo wa kufikiri na kuondoa utamaduni wa kubuni unaozidi kukua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani