Wataka chombo maalumu kufumua mfumo dume
CHOMBO maalumu ni njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume hivyo kuwa nyuma kiuchumi na kiuongozi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Dk Magufuli ashauriwa kufumua mfumo wa elimu
10 years ago
Habarileo28 Mar
Walemavu wataka chombo huru
WATU wenye ulemavu nchini wamepongeza juhudi za Serikali katika utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki Watu wenye ulemavu wa mwaka 2009, na kutaka changamoto zilizobaki ziundiwe chombo huru chenye mamlaka kuratibu masuala ya watu hao.
10 years ago
Vijimambo11 Aug
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?

NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.
Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mfumo dume wadhihirika bungeni Kenya
11 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Mfumo dume bado unatawala wanawake
MFUMO dume ulioota mizizi katika jamii kwa kisingizio cha mila, desturi na dini unachangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji wa mtoto wa kike na mwanamke nchini. Tangu enzi za mababu,...
11 years ago
Habarileo17 May
Mfumo dume bado waathiri familia nyingi
FAMILIA nyingi bado zipo katika tabaka la mfumo dume, ambao unachangia kwa asilimia kubwa kuendelea kuwepo kwa idadi ya watoto wa mitaani na waishio katika mazingira hatarishi.
11 years ago
Habarileo06 Apr
Mfumo dume chanzo cha matatizo Afrika -Sumaye
ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amesema changamoto nyingi za Afrika zimetokana na mfumo uliopo ambao unawaacha nyuma wanawake ambao ndio wanaoguswa zaidi na changamoto hizo.