MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1lf0qyoD2flMkf7SkdW0wfr09SEfgMWPN5ay45T0dTBm7FWCA5B2su375oFh70x4FOI2NSDpnw-Mt-lVGeikcGJ3/unhappyparents.jpg?width=650)
NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi. Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Aug
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
![](http://api.ning.com/files/U9cJ436L1lelkpgVfht*dJekLrWiMcZemu4UNNn0D9SOQ*OxJ55vnXJyUn4faokywkxDFP76LLUIw2-bLO2ZsWvAqj3JJH8w/violenceresized.jpg?width=650)
NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.
Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D-ZkN27MQFoG-MfL*q9ZnMtT2vnSMn*9myDvqEMGun2Sr4XJQkye6B2PL8U*IZ4SBOVcAzx9jiEsgponZGaIPDB/unhappymarriage.jpg?width=650)
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTt9xnWH-hR70KQncTuo3zevXpaVxto*dr86N2q*fCjlSnuA1fJa476Nxnug-CDZeERoJXbgyfPHTlw6OV3EYJAM/1.jpg)
OYA MWANAUME, HUU MWEZI DUME JIKAZE KIUME!
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mfumo dume wadhihirika bungeni Kenya
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Mfumo dume bado unatawala wanawake
MFUMO dume ulioota mizizi katika jamii kwa kisingizio cha mila, desturi na dini unachangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji wa mtoto wa kike na mwanamke nchini. Tangu enzi za mababu,...
11 years ago
Habarileo23 Jul
Wataka chombo maalumu kufumua mfumo dume
CHOMBO maalumu ni njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume hivyo kuwa nyuma kiuchumi na kiuongozi.
11 years ago
Habarileo17 May
Mfumo dume bado waathiri familia nyingi
FAMILIA nyingi bado zipo katika tabaka la mfumo dume, ambao unachangia kwa asilimia kubwa kuendelea kuwepo kwa idadi ya watoto wa mitaani na waishio katika mazingira hatarishi.
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Ushirikina, mfumo dume vyawatia hofu wanawake, vijana
IMANI za kishirikina pamoja na mfumo dume ndani ya baadhi ya wanajamii wa mkoa wa Pwani, chanzo cha vijana na wanawake kushindwa kugombea nafasi za uongozi kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo...
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Beatrice Bernald; Mfumo dume umesababisha nipate mateso