Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?


NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.

Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?

NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi. Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii...

 

9 years ago

GPL

MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2

Karibuni tena Jumanne ya leo ambapo tunakutana kuzidi kupeana elimu mbalimbali kuhusu maisha na mapenzi. Mada yetu inasema; wanaume wana haki na mfumo dume?’  Mada hii inatoka wiki iliyopita ambapo tuliishia pale wanaume wanagombana na wake zao, kwa hasira wanawamwagia maji ya moto mpaka kuwaunguza vibaya sana. Nikasema huo si mfumo dume. Ni unyama uliopitiliza. Na nikasema hata mimi napinga vikali. Wiki hii ninaendelea...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANAUME, HUU MWEZI DUME JIKAZE KIUME!

Mambo vipi wakubwa? Inakuwaje wazazi hapo kwa fasi ya kitaa ya kati? Saidi hii ni mpango mzima. Unataka mambo matamtamu? Kaa humu wewe uwe mjanja. Mimi si ndo mjanja wenu? Basi barida. Ama nini? Ebana mambo ya mapanya rodi sijui mapaka rodi hebu tuyapige dauni tusiwape kiki kiivo. Zaidi ya hapo tukimbizane na hili laifu hadi kieleweke chaliiangu. Ebana wanangu kama mtu hukujipanga inabidi tukupange maana wewe utatumbuaje hadi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mfumo dume wadhihirika bungeni Kenya

Wabunge wanaume wamependekeza kuwa sio lazima mume kumuomba ruhusa mke wa kwanza anapotaka kuoa mke wa pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumo dume bado unatawala wanawake

MFUMO dume ulioota mizizi katika jamii kwa kisingizio cha mila, desturi na dini unachangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji wa mtoto wa kike na mwanamke nchini. Tangu enzi za mababu,...

 

11 years ago

Habarileo

Wataka chombo maalumu kufumua mfumo dume

CHOMBO maalumu ni njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume hivyo kuwa nyuma kiuchumi na kiuongozi.

 

11 years ago

Habarileo

Mfumo dume bado waathiri familia nyingi

FAMILIA nyingi bado zipo katika tabaka la mfumo dume, ambao unachangia kwa asilimia kubwa kuendelea kuwepo kwa idadi ya watoto wa mitaani na waishio katika mazingira hatarishi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ushirikina, mfumo dume vyawatia hofu wanawake, vijana

IMANI za kishirikina pamoja na mfumo dume ndani ya baadhi ya wanajamii wa mkoa wa Pwani, chanzo cha vijana na wanawake kushindwa kugombea nafasi za uongozi kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Beatrice Bernald; Mfumo dume umesababisha nipate mateso

>Musoma ni moja ya wilaya mkoani Mara inayosifika kwa unyanyasaji na vitendo vya ukatili kwa wanawake hapa Tanzania kutokana na matukio yaliyorekodiwa tangu zamani hata sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani