OYA MWANAUME, HUU MWEZI DUME JIKAZE KIUME!
![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTt9xnWH-hR70KQncTuo3zevXpaVxto*dr86N2q*fCjlSnuA1fJa476Nxnug-CDZeERoJXbgyfPHTlw6OV3EYJAM/1.jpg)
Mambo vipi wakubwa? Inakuwaje wazazi hapo kwa fasi ya kitaa ya kati? Saidi hii ni mpango mzima. Unataka mambo matamtamu? Kaa humu wewe uwe mjanja. Mimi si ndo mjanja wenu? Basi barida. Ama nini? Ebana mambo ya mapanya rodi sijui mapaka rodi hebu tuyapige dauni tusiwape kiki kiivo. Zaidi ya hapo tukimbizane na hili laifu hadi kieleweke chaliiangu. Ebana wanangu kama mtu hukujipanga inabidi tukupange maana wewe utatumbuaje hadi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D-ZkN27MQFoG-MfL*q9ZnMtT2vnSMn*9myDvqEMGun2Sr4XJQkye6B2PL8U*IZ4SBOVcAzx9jiEsgponZGaIPDB/unhappymarriage.jpg?width=650)
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2
10 years ago
Vijimambo11 Aug
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
![](http://api.ning.com/files/U9cJ436L1lelkpgVfht*dJekLrWiMcZemu4UNNn0D9SOQ*OxJ55vnXJyUn4faokywkxDFP76LLUIw2-bLO2ZsWvAqj3JJH8w/violenceresized.jpg?width=650)
NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.
Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1lf0qyoD2flMkf7SkdW0wfr09SEfgMWPN5ay45T0dTBm7FWCA5B2su375oFh70x4FOI2NSDpnw-Mt-lVGeikcGJ3/unhappyparents.jpg?width=650)
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Ripoti: Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MWANAUME: Tatizo la guvu za kiume kwa wanaume
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
Huu ni mwaka dume!
Na Rashid Abdallah Ndio! Ni kweli! Halinashaka kabisa! Kuwa CCM na raisi Jakaya na watangulizi wake wameshindwa kabisa kuikwamua Tanzania. Kama ni jahazi basi tungesema jahazi la CCM limelala upande mmoja na wala si ajabu kuwa […]
The post Huu ni mwaka dume! appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Stupid Father kukamilishwa mwezi huu
FILAMU mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa sinema za Bongo, Adam Kuambiana, iitwayo ‘Stupid Father’ ipo mbioni kukamilika na kuingizwa sokoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaCM0cfE2TsVdaTTDF8PqYK2frUkGpDvismrg-s6Bc-8Hb*-x7Z*ygyGTkEyOxjVAMhtTjHJRaQFj7JQvajDwG4/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU
9 years ago
Bongo512 Oct
Wizkid kutumbuiza Dar mwezi huu