Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU

WAUMINI wa dini ya Kiislamu kote duniani, hivi sasa wapo katika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao hutokea kila mwaka, kuelekea Sikukuu ya Idd el Fitr. Ni siku zipatazo 30 ambazo Waislamu wanatakiwa kuacha kutenda dhambi, sambamba na kufunga kula chakula nyakati za mchana. Ingawa siku zote za maisha yetu hapa duniani tunatakiwa kuacha kutenda dhambi, kufanya mambo ya kumpendeza Mungu na kuwa watu wema, lakini mwezi huu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MASTAA KIBAO NDANI YA FILAMU YA HOMECOMING, KUTINGA SOKONI MWEZI HUU


Mwongozaji mahiri wa filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, Seko Shamte. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.Crew nzima pamoja na baadhi ya waigizajiMoja kati ya kamera kali zilizotumika.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mastaa kibao ndani ya filamu ya Homecoming, kutinga Cinema kisha sokoni mwezi huu

Mwongozaji mahiri wa filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, Seko Shamte. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.

Crew nzima pamoja na baadhi ya waigizaji

Moja kati ya kamera kali zilizotumika

Kazi ikiendelea location.

Na Mwandishi Wetu

WASANII mahiri wameshiriki kwenye filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi...

 

11 years ago

GPL

MWEZI MTUKUFU MKOROGO UTANIKOMA - MAIMARTHA

Stori: Hamida Hassan
Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi huo huwa mishemishe zake zikiwemo za u-MC anaziweka kando na kwamba atatumia muda mwingi kutengeneza mwili wake. Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse “Yaani mkorogo utanikomaje,...

 

10 years ago

GPL

MWEZI MTUKUFU, DHAMBI ZOTE POO!

Wakati nilikuwa mdogooo tulikuwa na taratibu za kuwekeana ‘poo’. Katika utaratibu huo ilikuwa mnawekeana makubaliano na mwenzio au wenzio mliokuwa nao kuwa kila kitu kinasimama mpaka baadaye bila kukorofishana. Kwa mfano kama mlikuwa mnacheza mchezo wa kujificha, ghafla unaitwa kwenu, basi utatoka  ulikokuwa umejificha huku unawaambia wenzio, ‘Jamani poo nimeitwa na mama’ basi unaruhusiwa kwenda...

 

10 years ago

GPL

MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI

Chande Abdallah
Bahati ilioje! Kibaka mmoja aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar juzikati nusura auawe kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira baada ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge. Kwa mujibu wa wafanyakazi wa duka hilo, mtu huyo aliingia kwa mbwembwe kama mteja wa kawaida akiomba kutolewa fotokopi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu

>Wafanyabiashara wametakiwa kuacha tamaa ya kujipatia faida kubwa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa kupandisha bei za bidhaa na hivyo kuwapa wakati mgumu wafungaji.

 

11 years ago

Michuzi

Mualiko wa Kongamano la 6 la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

TAMPRO inayofuraha kwa heshima na taadhima kukuarifu kufanyika kwa Kungamano la Sita la Kukaribisha Mwezi wa Ramadhan 1435H, Siku ya Jumapili June 22, 2014 Katika ukumbi wa Julias Nyerere International Convention Centre (JNICC) – Shaaban Robert Street,Dar es Salaam kuanzia saa 02:30 Asubuhi Mpaka Saa 10:30 Alasiri.
TAMPRO ni Taasisi ya wanataaluma wa Kiislamu katika fani mbali mbali iliyosajiriwa Mwaka 1997 kwa lengo la kuwaleta pamoja wanataaluma wa kiislamu kulitumikia taifa huku...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUO ZA MWEZI MTUKUFU NA EID ZIMEWASILI DMV

Mzigo umeingia dmv from bara Arabu nguo za kila aina za mwezi mtukufu na Eid Karibuni sana piga no 2407066333hakutakuwa na mkopo Asanteni

 

11 years ago

Habarileo

RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu

Dk Rehema NchimbiMKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani