MWEZI MTUKUFU MKOROGO UTANIKOMA - MAIMARTHA
![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wXsASYapn4rG7V673y8P8aEb88xk4LWm0Q2ExiEZZJX-Wkd89fJ4kcTuKg7VB9uz1PLciKthekwUqEJn12JJ4B6/amini.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi huo huwa mishemishe zake zikiwemo za u-MC anaziweka kando na kwamba atatumia muda mwingi kutengeneza mwili wake. Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse “Yaani mkorogo utanikomaje,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sy0E4fmzVHy3m2L0uXbbcf-xdS3j1GuWcwzRVKrBLoVm8rgK*VmBVrH7rbIYv1MEmaWgiiwJUPBCGy48xPNOk1W/BACKRISASI.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7Ksdskwz3o6DK6JYYa-fEAXsJpLObZYuBUl0kSoUnEXj6398dnDw6BW36ugqAgpOwZT2pvchoS4FTzfh3fWHFt/CHEKANAKITIME.jpg)
MWEZI MTUKUFU, DHAMBI ZOTE POO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaCM0cfE2TsVdaTTDF8PqYK2frUkGpDvismrg-s6Bc-8Hb*-x7Z*ygyGTkEyOxjVAMhtTjHJRaQFj7JQvajDwG4/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU
11 years ago
Habarileo29 Jun
RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Mualiko wa Kongamano la 6 la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s1600/unnamed+(14).jpg)
TAMPRO ni Taasisi ya wanataaluma wa Kiislamu katika fani mbali mbali iliyosajiriwa Mwaka 1997 kwa lengo la kuwaleta pamoja wanataaluma wa kiislamu kulitumikia taifa huku...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s72-c/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
NGUO ZA MWEZI MTUKUFU NA EID ZIMEWASILI DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s640/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s72-c/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
DK. SHEIN ATOA SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s400/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja na kujihifadhi na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s72-c/unnamed+(5).jpg)
DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s1600/unnamed+(5).jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu