Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman,  Ikulu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DK. SHEIN ATOA SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema  wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo  pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi   yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja  na kujihifadhi na...

 

5 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA SALAM ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema  wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo  pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi   yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja  na kujihifadhi na ...

 

11 years ago

CloudsFM

BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.

Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.

“Tabia hii si nzuri na...

 

10 years ago

Michuzi

BIMA YA RESOLUTION YAFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

 Picha ya baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufutari katika ukumbi wa hoteli Serena, futari iliyoandaliwa na Bima ya Resolution. Baadhi wa waumini wa dini ya kiislam wakimsikiliza mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam .  Meneja Mkuu wa Bima ya Resolution, Oscar Osir, na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salim wakiwaongoza wa umini wa Dini ya kiislamu katika mwezi Mtukuru wa Ramadhani kuchukua futari iliyoandaliwa na Bima ya...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt Shein Atoa salamu Kwa Wananchi Kukaribisha Mwaka Mpya na habari zingine kupitia simu TV



Wachezaji wa klabu ya Simba jana wamelionja joto la jiwe baada ya mashabiki wa Ndanda FC kuwavamia wachezaji wakati wa mazoezi.  https://youtu.be/6kqjr9XjQ00
Timu ya CDA imetupwa nje katika mashindano ya kombe la shirikisho baada ya kupokea kichapo cha bao 1 toka kwa Singida United.  https://youtu.be/KmxQHdfWOqUSerikali imetoa tamko kuwa itaendelea kuwalipa mishahara makocha wote  wa timu za taifa   https://youtu.be/Ochi73k6Q64Fahamu mengi kutoka kwa Mch. Samwel Maela akikufundisha mengi...

 

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA ATOA FUTARI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA WAISLAMU






Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mbwana Mtingule (kulia) akimkabidhi viazi vitamu Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau vilivyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi kwa ajili ya futari ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu wa mkoa huo leo.




Viazi vya futari vikishushwa kwenye gari.


Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi ya Bakwata Mkoa wa Singida.



Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi...

 

10 years ago

Vijimambo

Risala ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu,(Picha na Ikulu.)
RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN YA RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
MHESHIMIWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani