Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA POLE KWA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Kiondo, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015 kwa mazungumzo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Kombe kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK atoa salamu za pole kwa wanahabari

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA


Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) kilichotokea leo alfajiri Mei 01, 2020 Jijini Dodoma.
Tume inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na kiongozi  mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri aliyeiwakilisha na kuipigania Tanzania katika nyanja za Kimataifa...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt Shein Atoa salamu Kwa Wananchi Kukaribisha Mwaka Mpya na habari zingine kupitia simu TV



Wachezaji wa klabu ya Simba jana wamelionja joto la jiwe baada ya mashabiki wa Ndanda FC kuwavamia wachezaji wakati wa mazoezi.  https://youtu.be/6kqjr9XjQ00
Timu ya CDA imetupwa nje katika mashindano ya kombe la shirikisho baada ya kupokea kichapo cha bao 1 toka kwa Singida United.  https://youtu.be/KmxQHdfWOqUSerikali imetoa tamko kuwa itaendelea kuwalipa mishahara makocha wote  wa timu za taifa   https://youtu.be/Ochi73k6Q64Fahamu mengi kutoka kwa Mch. Samwel Maela akikufundisha mengi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amtumia salamu za pole Dkt. Shein kufuatia mlipuko wa bomu Zanzibar

Jakaya-Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein  kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu  katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014,  mjini Unguja.

‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)



Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon Mpanju, leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga akieleza mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman,  Ikulu

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS TFF ATUMA SALAMU ZA POLE KWA WAHANGA WA MAFURIKO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salaam za pole kwa wakazi wa Dar es salaam na hasa wale walioathirika na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam kwa siku ya tatu mfululizo sasa.

Katika salam zake kupitia kwa Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Mecky Sadik, Malinzi amesema familia zimepoteza makazi, miundombinu ya usafiri na michezo imeharibika na hata kuwa katika hali ya kutotumika, wanawake watoto, familia, shughuli za kiuchumi na kimichezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani