Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atoa salamu za pole kwa wanahabari

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa IGP Mangu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS TFF ATUMA SALAMU ZA POLE KWA WAHANGA WA MAFURIKO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salaam za pole kwa wakazi wa Dar es salaam na hasa wale walioathirika na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam kwa siku ya tatu mfululizo sasa.

Katika salam zake kupitia kwa Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Mecky Sadik, Malinzi amesema familia zimepoteza makazi, miundombinu ya usafiri na michezo imeharibika na hata kuwa katika hali ya kutotumika, wanawake watoto, familia, shughuli za kiuchumi na kimichezo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua

Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole  na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.

"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" .

Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.

Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone...

 

9 years ago

Habarileo

JK atoa pole kwa wafiwa, majeruhi

RAIS Jakaya Kikwete amezifariji familia mbili zilizofiwa na ndugu zao pamoja na majeruhi 19 waliojeruhiwa kutokana na kusukumana na kukanyagana milangoni wakati wakitoka ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini hapa, baada ya mkutano mkubwa wa kampeni za urais wa mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.

 

10 years ago

Vijimambo

MPWA ATOA POLE KWA ELVIS KWA MSIBA WA BABA YAKE

Dj Luke (kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Elvis Mnyamuru (kulia) siku ya Jumamosi Februari 28, 2015 alipokwenda nyumbani kwake mji wa Winder uliopo maili 55 nje ya jiji la Atlanta jimbo la Georgia kummpa pole ya kufiwa na baba yake ambayo siku hiyo ilikua ni siku ya arobaini tangia kifo cha Mzee Ibrahim Mnyamuru. Kati ni Liganga mchezaji wa Stars United.
 Liganga akiwa na mama mwenye nyumba wake wakiwa nyumbani kwa Elvis Mnyamuru.
Elvis Mnyamuru katika picha ya pamoja na mama mwenye...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa  na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo LembursWaziri Mkuu, Kassim...

 

10 years ago

Habarileo

JK atoa pole kwa ndugu walioteketea kwa moto

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki kuomboleza vifo vya watu sita wa familia moja waliopoteza maisha kwa ajali ya moto usiku wa kuamkia Jumamosi, Januari 7, 2015, katika eneo la Kipunguni A, Ukonga Banana, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani