MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC.
![](http://1.bp.blogspot.com/-5cyuBLvyKyI/VW20qJKa4vI/AAAAAAAHbWU/BEqMHRvUxfs/s72-c/1.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Kiondo, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Kombe kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-1rv0U2h54Yg/VP18Ckr91CI/AAAAAAADbrw/KgWR2FZbLZ8/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA SIMU LA VIETNAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-1rv0U2h54Yg/VP18Ckr91CI/AAAAAAADbrw/KgWR2FZbLZ8/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-O08GZ4EWbEM/VP18FN4FyEI/AAAAAAADbr8/yPt2KdKdHbg/s1600/2B.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa UBA Tanzania Generali Robert Mboma na ujumbe wake, Ikulu Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-cxEkuhwJ4C4/VEderkB5bYI/AAAAAAADKW8/6EXKRcBCrS0/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE
![](http://4.bp.blogspot.com/-cxEkuhwJ4C4/VEderkB5bYI/AAAAAAADKW8/6EXKRcBCrS0/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--d6XXkK-utU/VEderpfQFgI/AAAAAAADKW0/PFdjSNlhjE8/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal amaliza ziara yake ya siku tatu, nchini China, akutana na mwenyeji wake makamu wa Rais wa China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. ‘Peoples Great Hall’, jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.Mei 20, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA, AKUTANA NA MWENYEJI WAKE MAKAMU WA RAIS WA CHINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5m-J1xgXhfQ/VV2y4J3QVqI/AAAAAAAHYys/pZHTR_Y2wxU/s640/6.jpg)
5 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M81ZOZpdqlw/VBbXZLGJ0bI/AAAAAAAGjwk/7u8tCEw-6bU/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-M81ZOZpdqlw/VBbXZLGJ0bI/AAAAAAAGjwk/7u8tCEw-6bU/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QwRNFQA8A1k/VBbXY2WkvFI/AAAAAAAGjwg/7t4iJ66BwzY/s1600/unnamed%2B(28).jpg)