BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.
Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.
“Tabia hii si nzuri na...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF ATEMBELEA MASOKO KUANGALIA UPATIKANAJI WA VYAKULA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
10 years ago
StarTV18 Dec
Bei za vyakula, bidhaa Dar zapanda.
Na Epiphania Magingo,
Dar es Salaam.
Zikiwa zimesalia siku chache za kusherehekea sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za vyakula na bidhaa mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeonekana kupanda kwa kasi na kufanya wanunuzi wengi kushindwa kununua bidhaa hizo.
Changamoto hii imekuwa ikionekana kila inapokaribia msimu wa sikukuu kubwa ambayo licha ya kukemewa lakini imeendelea kujitokeza na kuwa tatizo sugu linalowaathiri wananchi wengi.
Ni katika soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s72-c/unnamed+(5).jpg)
DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s1600/unnamed+(5).jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
10 years ago
MichuziBIMA YA RESOLUTION YAFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu
11 years ago
Habarileo29 Jun
RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
Sheikh alia na wanaopaisha bei mwezi wa Ramadhani
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAFANYABIASHARA wameaswa kutotumia mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kujinufaisha binafsi kwa kupandisha bei za vyakula sokoni.
Baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuugeuza mwezi wa Ramadhan kuwa, ndio wa kuchuma zaidi kibiashara kwa kupandisha bei za bidhaa, zikiwemo viazi utamu, mihogo, maharage, magimbi na tambi ambavyo hutumiwa na wengi.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Juma Killa, alitoa angalizo hilo jana wakati...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Bidhaa zapanda bei Zanzibar
WANANCHI wengi wa Zanzibar wanalazimika kutumia fedha za ziada kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za lazima ikiwemo chakula baada ya bei ya bidhaa muhimu kupanda bei, imebainika.