Sheikh alia na wanaopaisha bei mwezi wa Ramadhani
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAFANYABIASHARA wameaswa kutotumia mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kujinufaisha binafsi kwa kupandisha bei za vyakula sokoni.
Baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuugeuza mwezi wa Ramadhan kuwa, ndio wa kuchuma zaidi kibiashara kwa kupandisha bei za bidhaa, zikiwemo viazi utamu, mihogo, maharage, magimbi na tambi ambavyo hutumiwa na wengi.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Juma Killa, alitoa angalizo hilo jana wakati...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Jul
11 years ago
CloudsFM02 Jul
BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.
Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.
“Tabia hii si nzuri na...
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Sheikh Ponda ‘alia’ na pingamizi dhidi yake
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Pamoja na Vodacom kusaidia yatima mwezi wa Ramadhani
PAMOJA na Vodacom, ambayo awali ilifahamika kwa jina la Share and Care ni moja ya kampeni zinazoendeshwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania. Katika kuonyesha upendo, Vodacom...
10 years ago
Habarileo18 Jun
Wapaisha bei Ramadhani waonywa
WAFANYABIASHARA nchini wametakiwa kutopandisha bei za bidhaa zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani bila ya sababu za msingi.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s72-c/unnamed+(5).jpg)
DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
![](http://3.bp.blogspot.com/-btWbbYPJNz8/U657WR6YIJI/AAAAAAAFtUs/z6Cb96PITBc/s1600/unnamed+(5).jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
11 years ago
Bongo504 Jul
Madee auzungumzia mwezi wa Ramadhani, ‘kikubwa ni tufanye ibada’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1nLQAkCBnRM/VP3YEy7eD4I/AAAAAAAHJKE/yuUUI8PmvSI/s1600/unnamed%2B(53).jpg)