Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapaisha bei Ramadhani waonywa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.WAFANYABIASHARA nchini wametakiwa kutopandisha bei za bidhaa zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani bila ya sababu za msingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa maabara wapaisha bei ya saruji

Serikali Mkoa wa Mbeya imesema itachunguza ili kujua sababu za uongozi wa Kiwanda cha Saruji Mbeya kuuza mfuko mmoja kwa Sh16,000 jijini hapa wakati mfuko wa aina hiyo hiyo unauzwa kwa Sh14,000 mkoani Njombe, Iringa na Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu

>Wafanyabiashara wametakiwa kuacha tamaa ya kujipatia faida kubwa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa kupandisha bei za bidhaa na hivyo kuwapa wakati mgumu wafungaji.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sheikh alia na wanaopaisha bei mwezi wa Ramadhani


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAFANYABIASHARA wameaswa kutotumia mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kujinufaisha binafsi kwa kupandisha bei za vyakula sokoni.
Baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuugeuza mwezi wa Ramadhan kuwa, ndio wa kuchuma zaidi kibiashara kwa kupandisha bei za bidhaa, zikiwemo viazi utamu, mihogo, maharage, magimbi na tambi ambavyo hutumiwa na wengi.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Juma Killa, alitoa angalizo hilo jana wakati...

 

11 years ago

CloudsFM

BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.

Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.

“Tabia hii si nzuri na...

 

10 years ago

Dewji Blog

LG yatoa punguzo kabambe la bei ya bidhaa zake kipindi hiki cha Ramadhani na Sabasaba

IMG_5470

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Bi. Fatema Dewji-Jaffer akipokea taarifa ya shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama “Sabasaba” kwa mmoja wa maafisa wa kampuni ya bidhaa za LG Tanzania ambapo kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) ndio msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini kabla ya hafla fupi ya uzinduzi wa friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya “Velvet Gardenia na Coral Irish”.

2

Mmoja wa...

 

11 years ago

Habarileo

Arusha wapaisha ufaulu darasa la 7

MKOA wa Arusha umeongeza wastani wa ufaulu kutoka alama 93.62 mwaka jana hadi kufikia alama 104.86 mwaka huu licha ya kuwa na sifa ya kutokuwepo kwa udanganyifu kabla na wakati wa ufanyikaji wa mitihani ya darasa la saba.

 

5 years ago

Michuzi

BEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza na wandishi wa habari leo katika mkutano wa pamoja na Waziri wa Kilimo ambapo wametangaza bei mpya ya sukari na kutoa onyo kwa wafanyabiashara ambao watapandisha bei kiholela.Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga (kulia) akitangaza bei mpya ya sukari nchini baada ya sukari kupanda ghafla katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Corona, pembeni yake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR


Na Mwashungi Tahir   Maelezo
Imeelezwa kwamba  mfumko wa bei kwa mwaka uloishia February 2020  imeongezeka kufikia asilimia 6.2   ukilinganisha  kwa  mwaka ulioishia January 2020 asilimia 4.9 

Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha mfumko wa bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Khamis Abrahmani Msham wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Mtakwimu Mkuu wa Serikali ilioko Mazizini .

Amesema ongezeko hilo limetokana  na bidhaa mbali mbali zikiwemo  vyakula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani