Arusha wapaisha ufaulu darasa la 7
MKOA wa Arusha umeongeza wastani wa ufaulu kutoka alama 93.62 mwaka jana hadi kufikia alama 104.86 mwaka huu licha ya kuwa na sifa ya kutokuwepo kwa udanganyifu kabla na wakati wa ufanyikaji wa mitihani ya darasa la saba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Dar yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...
10 years ago
Habarileo25 Dec
Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.
9 years ago
Habarileo01 Nov
Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba
UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.
9 years ago
MichuziKIWANGO CHA UFAULU DARASA LA 7 CHAPANDA WILAYANI MUFINDI
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Sep
Arusha kupandisha kiwango cha ufaulu
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha kupitia mpango wa matokeo makubwa (BRN), inatarajia kupandisha kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 92 kwa elimu ya msingi.
Takwimu zinaonyesha katika matokeo ya mwaka jana, ufaulu ulikuwa asilimia 85.
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa ElimuTaaluma wa Shule za Msingi katika halmashauri ya Jiji hilo, Mbwana Juma, alipokuwa akizungumza wakati wa mafunzo ya mbinu za kufundisha masomo ya hisabati na sayansi.
Alisema kupitia BRN...
11 years ago
Habarileo31 Dec
254 wa darasa la 7 mkoa wa Arusha hawajui kusoma
WILAYA ya Ngorongoro inaongoza kwa kuwa na wanafunzi 124 waliomaliza darasa la saba mwaka huu bila ya kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Wajumbe baraza la biashara Arusha wapewa ‘darasa’
10 years ago
Habarileo18 Jun
Wapaisha bei Ramadhani waonywa
WAFANYABIASHARA nchini wametakiwa kutopandisha bei za bidhaa zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani bila ya sababu za msingi.