KIWANGO CHA UFAULU DARASA LA 7 CHAPANDA WILAYANI MUFINDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ab2dRkmi7sw/Vokav_dAu0I/AAAAAAAIQEY/A7z_jd9bR0E/s72-c/d942dbb9-f79a-4bb4-92e6-1e0361d4edd3.jpg)
Zaidi ya wanafunzi 5,100 wa shule za msingi Wilayani Mufindi Mkoani Iringa, wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza baada ya kufaulu mtihani wa darasa la 07 ulifanyika mapema mwaka jana, huku ufaulu huo ukipanda na kufikia asilimia 80.39 ukilinganisha na asilimia 68.21 ya mwaka 2014. Taarifa ya kitengo cha habari na mawasiliano cha halmashauri ya wilaya ya mufindi kwa nyombo vya habari, imetanabaisha kuwa, wanafunzi waliokuwa wamesajiliwa kufanya mtihani walikuwa 7,220 na miongoni mwao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Jun
Kiwango cha maambukizi ya Ukimwi Rukwa chapanda
VIFO vinavyotokana na Ukimwi nchini vimepungua kwa asilimia 30 kutokana na upatikanaji na matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo za ARVs.
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Kiwango cha mshahara watumishi wa umma chapanda
WASTANI wa malipo ya mshahara kwa watumishi wa umma umeongezeka kutoka wastani wa mshahara wa sh. 74,183 mwaka 2001 hadi 562,119 mwaka 2014. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri...
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Sep
Arusha kupandisha kiwango cha ufaulu
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha kupitia mpango wa matokeo makubwa (BRN), inatarajia kupandisha kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 92 kwa elimu ya msingi.
Takwimu zinaonyesha katika matokeo ya mwaka jana, ufaulu ulikuwa asilimia 85.
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa ElimuTaaluma wa Shule za Msingi katika halmashauri ya Jiji hilo, Mbwana Juma, alipokuwa akizungumza wakati wa mafunzo ya mbinu za kufundisha masomo ya hisabati na sayansi.
Alisema kupitia BRN...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Tuache siasa, kiwango cha ufaulu kimeshuka
11 years ago
Habarileo06 Apr
Miundombinu, ubunifu kuinua kiwango cha ufaulu
SERIKALI imeshauriwa kuboresha na kuimarisha miundombinu yakiwemo majengo kwenye vyuo vya ualimu nchini, na kusaidia uwapo wa ubunifu ili kuinua ufaulu wa wanafunzi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SuStNoENXYg/XmY7yeiNNEI/AAAAAAALiOc/J-WDPJMdkYQ-UCVf-EIryh9M6ieI63NOQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-09%2Bat%2B9.52.03%2BAM.jpeg)
NAIBU KATIBU MKUU AHOJI KUSHUKA KIWANGO CHA UFAULU SHINYANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SuStNoENXYg/XmY7yeiNNEI/AAAAAAALiOc/J-WDPJMdkYQ-UCVf-EIryh9M6ieI63NOQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-09%2Bat%2B9.52.03%2BAM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-qj3uI9uUoiM/XmY7yabffEI/AAAAAAALiOY/FXG1eupYxOAo-rY2McDe0tAF-f3RG4MMwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-09%2Bat%2B9.52.04%2BAM.jpeg)
NAIBU Katibu mkuu wa TAMIS Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli amehoji kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa Mkoa wa Shinyanga Kitaifa kutoka nafasi ya 3 kwa mwaka 2018 hadi nafasi ya 13 kwa mwaka 2019.
Akizungumza katika ziara yake ya kikazi Mkoani humo amesema haiwezekani kwa kipindi cha mwaka mmoja Mkoa huo kuporomoka kitaaluma kwa kiwango hicho ...
11 years ago
Habarileo11 Jun
Kiwango maisha bora chapanda
MAENDELEO ya Watanzania na kuongezeka kwa ubora wa maisha yao sasa ni dhahiri baada ya chapisho la tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na Kiuchumi, linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, kuonesha hatua walizopiga katika maisha yao.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Arusha wapaisha ufaulu darasa la 7
MKOA wa Arusha umeongeza wastani wa ufaulu kutoka alama 93.62 mwaka jana hadi kufikia alama 104.86 mwaka huu licha ya kuwa na sifa ya kutokuwepo kwa udanganyifu kabla na wakati wa ufanyikaji wa mitihani ya darasa la saba.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.